jamaa akipenya kwenye geti la kaskazini la bustani ya mnazi mmoja garden jijini dar ambayo daima huwa imefungwa namna hii kuzuia wadau wasiingie kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana. kwa lugha ingine jiji la dar halina bustani kwa walipa kodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. tutafanyaje sasa, nchi ndo ishauzwa hii.

    ReplyDelete
  2. HAYA BUSTANI YA MNAZI MMOJA GARDEN, DOOH!

    BARABARA YA KILWA ROAD

    KAKAAAAAA, MIXTURE IS ANYTHING .......

    HAHAHAHAHAAAAAA!!!!

    ReplyDelete
  3. VIONGOZI WA JIJI WAKO BIZE WAKILA KUKU KWA MRIJA KWANI WANAUHAKIKA KUWA WATANZANIA WAMELALA USINGIZI HIVYO HAWAHITAJI HUDUMA ZOZOTE ZA JAMII IKIWA NI BUSTANI, VYOO VYA BURE, VITI VYA KUPUMZIKA NA VIBANDA KWENYE VITUO VYA MABASI. HAYA YOTE YANATOKEA KWA SABABU SISI TUNAONA KUWEMO WAPINZANI KWENYE MADIWANI SI JAMBO JEMA KISHA TUNAPOKOSA HUDUMA TUNALALAMA.

    ReplyDelete
  4. KWASABABU WATU WA TANZANIA HAWAJUHI MAANA YA BUSTANI....WENGI WAO NI WACHAFUZI WA MAZINGIRA....WATAANZA KUPAFANYA CHOO HAPO.BOLA IFUNGWE TU.
    MDAU MONEY UK,

    ReplyDelete
  5. Naafiki hiyo bustani ifungwe maana watu wanaigeuza ni vyoo na usiku ni gesti hausi ya machangudoa hapo mnazi, wananchi si wastaarabu

    ReplyDelete
  6. inafungwa,kwa sababu lango likiwa wazi,kuna watu ambao ustarabu kwao ni kitu duni,wanafanya pale ndio choo,wanaeneza vinyesi na mikojo kila mahala.

    ReplyDelete
  7. Bustani nyingi hata huku Western zimegeuzwa kama kitega uchumi. Unaweka bei ya wananchi na ya watalii. Weka choo safi ambako kuna muhudumu.Pipa za taka kila mahala. Mtu anapoingia anaambiwa kabisa ukitupa au kukojoa au kunya hovyo unapigwa faini. Na kama hana hela ya faini basi apewe siku kazaa za kufanya kazi. Na watu watazoea. Wahudumu wafundishwe namna ya kuwakarimu watu na kuwaelekeza umuhimu wa usafi.

    ReplyDelete
  8. Hapana kwa wote mnaosapoti.
    Kunya na kujoa bustanini ni matokeo ya mipango mibovu ya wahusika(jiji).
    kukiwa na mipango mizuri, watu hawatakunyakunya ovyo. bustani ni haki ya msingi ya watu waishio mijini na ni wajibu wa jiji kuhakikisha zinakuwepo na zinakuwa wazi bila watu kunyakunya ovyo

    ReplyDelete
  9. SISI TUPO BUSSY HATUNA MUDA WA KUKAA KATIKA GARDEN, TUNFIKIRIA KESHO TUKAIBE WAPI

    ReplyDelete
  10. Anony wa Oct 19,05:35:00 PM Mawazo yako yame2lia.Kimsingi Mamlaka ya Jiji chini ya Meya wake waweke utaratibu unawezesha watu kupata mahali pasafi na pa kuvutia kupumzikia na kubadilisha mawazo.Mgambo wasizungushane na machinga tu bali hiyo iwe sehemu ya kazi yao pia eboooooh

    ReplyDelete
  11. Hiyo imeshauzwa hiyo subirini hoteli ijengwe hapo!

    ReplyDelete
  12. WEWE UNASEMA KUWEKWE CHOO NA MAPIPA YA TAKA..MGENI WA BONGO NI NI...CHOO KITATIWA MAGAAZETI NA MAPIPA YA TAKA WATU WATAIBA KWENZA KUPIKIA WANZUKI...UMESAHAU BONGO...HUKU WESTERN AKUNA NJAA KAMA YA BONGO.BUSTANI IWE SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO SIKU ZA WEEKEND TU.
    MDAU MONEY UK.

    ReplyDelete
  13. AH HAPO TUULIZENI SISI WENGINE MAANA HIYO GARDEN IPO DAKIKA 5 KUTOKA NYUMBANI KWETU


    HIYO GARDEN ZAMANI ILIKUWA WAZI NA ILIKUWA IKITUMIWA VIBAYA NA WANANCHI WALIKUWA WAKIITUMIA KUKABA WATU USIKU KUCHEZA KAMALI NA MAMBO MENGI AMBAYO HAYAKUWA YA MAANA KWA JAMII

    ILIKUWA CHAFU SANA MIKOJO MAVI KILA SEHEMU MAJANI YALITOWEKA ILIKUWA NI MASKANI YA VIBAKA

    SEMA KWA UPANDE MWINGINE SERIKALI ISINGESHINDWA KUWEKA ULINZI NA WATU WAKAPATA SEHEMU YA KUPUNZIKA NA KUPATA KIVULI UPEPO MWANANA.

    mdau uholanzi.

    ReplyDelete
  14. Ni vyema bustani iendelee kufungwa tu kwani kuna watu wengine vichwa vyao haieleweki vina vitu gani humo ndani kama ni ubongo kweli au kamasi yaani wanajua wenyewe, kama walidiriki kujisaidia haja kubwa kwenye masinki ya kunawia mikono huko kwenye neshno mpya sembuse itakuwa hii bustani si watashindana nani kashusha kimba kubwa!!?

    ReplyDelete
  15. Ni vyema bustani iendelee kufungwa tu kwani kuna watu wengine vichwa vyao haieleweki vina vitu gani humo ndani kama ni ubongo kweli au kamasi yaani wanajua wenyewe, kama walidiriki kujisaidia haja kubwa kwenye masinki ya kunawia mikono huko kwenye neshno mpya sembuse itakuwa hii bustani si watashindana nani kashusha kimba kubwa zaidi!!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...