Home
Unlabelled
kwa nini bustani ya mnazi mmoja garden inafungwa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tutafanyaje sasa, nchi ndo ishauzwa hii.
ReplyDeleteHAYA BUSTANI YA MNAZI MMOJA GARDEN, DOOH!
ReplyDeleteBARABARA YA KILWA ROAD
KAKAAAAAA, MIXTURE IS ANYTHING .......
HAHAHAHAHAAAAAA!!!!
VIONGOZI WA JIJI WAKO BIZE WAKILA KUKU KWA MRIJA KWANI WANAUHAKIKA KUWA WATANZANIA WAMELALA USINGIZI HIVYO HAWAHITAJI HUDUMA ZOZOTE ZA JAMII IKIWA NI BUSTANI, VYOO VYA BURE, VITI VYA KUPUMZIKA NA VIBANDA KWENYE VITUO VYA MABASI. HAYA YOTE YANATOKEA KWA SABABU SISI TUNAONA KUWEMO WAPINZANI KWENYE MADIWANI SI JAMBO JEMA KISHA TUNAPOKOSA HUDUMA TUNALALAMA.
ReplyDeleteKWASABABU WATU WA TANZANIA HAWAJUHI MAANA YA BUSTANI....WENGI WAO NI WACHAFUZI WA MAZINGIRA....WATAANZA KUPAFANYA CHOO HAPO.BOLA IFUNGWE TU.
ReplyDeleteMDAU MONEY UK,
Naafiki hiyo bustani ifungwe maana watu wanaigeuza ni vyoo na usiku ni gesti hausi ya machangudoa hapo mnazi, wananchi si wastaarabu
ReplyDeleteinafungwa,kwa sababu lango likiwa wazi,kuna watu ambao ustarabu kwao ni kitu duni,wanafanya pale ndio choo,wanaeneza vinyesi na mikojo kila mahala.
ReplyDeleteBustani nyingi hata huku Western zimegeuzwa kama kitega uchumi. Unaweka bei ya wananchi na ya watalii. Weka choo safi ambako kuna muhudumu.Pipa za taka kila mahala. Mtu anapoingia anaambiwa kabisa ukitupa au kukojoa au kunya hovyo unapigwa faini. Na kama hana hela ya faini basi apewe siku kazaa za kufanya kazi. Na watu watazoea. Wahudumu wafundishwe namna ya kuwakarimu watu na kuwaelekeza umuhimu wa usafi.
ReplyDeleteHapana kwa wote mnaosapoti.
ReplyDeleteKunya na kujoa bustanini ni matokeo ya mipango mibovu ya wahusika(jiji).
kukiwa na mipango mizuri, watu hawatakunyakunya ovyo. bustani ni haki ya msingi ya watu waishio mijini na ni wajibu wa jiji kuhakikisha zinakuwepo na zinakuwa wazi bila watu kunyakunya ovyo
SISI TUPO BUSSY HATUNA MUDA WA KUKAA KATIKA GARDEN, TUNFIKIRIA KESHO TUKAIBE WAPI
ReplyDeleteAnony wa Oct 19,05:35:00 PM Mawazo yako yame2lia.Kimsingi Mamlaka ya Jiji chini ya Meya wake waweke utaratibu unawezesha watu kupata mahali pasafi na pa kuvutia kupumzikia na kubadilisha mawazo.Mgambo wasizungushane na machinga tu bali hiyo iwe sehemu ya kazi yao pia eboooooh
ReplyDeleteHiyo imeshauzwa hiyo subirini hoteli ijengwe hapo!
ReplyDeleteWEWE UNASEMA KUWEKWE CHOO NA MAPIPA YA TAKA..MGENI WA BONGO NI NI...CHOO KITATIWA MAGAAZETI NA MAPIPA YA TAKA WATU WATAIBA KWENZA KUPIKIA WANZUKI...UMESAHAU BONGO...HUKU WESTERN AKUNA NJAA KAMA YA BONGO.BUSTANI IWE SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO SIKU ZA WEEKEND TU.
ReplyDeleteMDAU MONEY UK.
AH HAPO TUULIZENI SISI WENGINE MAANA HIYO GARDEN IPO DAKIKA 5 KUTOKA NYUMBANI KWETU
ReplyDeleteHIYO GARDEN ZAMANI ILIKUWA WAZI NA ILIKUWA IKITUMIWA VIBAYA NA WANANCHI WALIKUWA WAKIITUMIA KUKABA WATU USIKU KUCHEZA KAMALI NA MAMBO MENGI AMBAYO HAYAKUWA YA MAANA KWA JAMII
ILIKUWA CHAFU SANA MIKOJO MAVI KILA SEHEMU MAJANI YALITOWEKA ILIKUWA NI MASKANI YA VIBAKA
SEMA KWA UPANDE MWINGINE SERIKALI ISINGESHINDWA KUWEKA ULINZI NA WATU WAKAPATA SEHEMU YA KUPUNZIKA NA KUPATA KIVULI UPEPO MWANANA.
mdau uholanzi.
Ni vyema bustani iendelee kufungwa tu kwani kuna watu wengine vichwa vyao haieleweki vina vitu gani humo ndani kama ni ubongo kweli au kamasi yaani wanajua wenyewe, kama walidiriki kujisaidia haja kubwa kwenye masinki ya kunawia mikono huko kwenye neshno mpya sembuse itakuwa hii bustani si watashindana nani kashusha kimba kubwa!!?
ReplyDeleteNi vyema bustani iendelee kufungwa tu kwani kuna watu wengine vichwa vyao haieleweki vina vitu gani humo ndani kama ni ubongo kweli au kamasi yaani wanajua wenyewe, kama walidiriki kujisaidia haja kubwa kwenye masinki ya kunawia mikono huko kwenye neshno mpya sembuse itakuwa hii bustani si watashindana nani kashusha kimba kubwa zaidi!!?
ReplyDelete