bosi wa biashara wa benki ya nmb akiwa na bosi wa masoko wa benki hiyo imani kajura wakijian daa kujichanganya na wana NMB wenzao katika mnuso maalumu hoteli ya white sands ambako mabosi wote ikiwa ni pamoja na mameneja wa matawi yote nchini pamoja na mameneja waandamizi wa makao makuu walijichimbia wiki nzima kupanga mikakati mipya ya kuboresha huduma zao. na leo kila mmoja alitoka kwa pamba za kiafrika
mabosi wakila pozi kwa pamba za aina tofauti
anko naye alikula kajipamba kakijamaica na
kula konozzz na shy rose bhanji aliyetoka kibangladeshi
pamba za kiafrika zilitawala
hata mapaparazzi walikula mabazeee
hapo kuna wa kilimanjaro, iringa, wapi sijui na pemba
wadau wamependeza....
cheki mkwaju wa njano aliokula bosi miguuni..








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Wamependeza saaana. Samahani, mabazee ndio nini?

    ReplyDelete
  2. Mnapanga mikakati kila siku na mikogo kibao huku mkitumbua pesa za shirika lakini ufanisi hakuna. Hii ni sawa ni zile Semina Elekezi za Kikwete, badilikeni mnaboa.

    ReplyDelete
  3. Nafurahi kuona kwamba Watanzania sasa tunaanza kuona thamani kubwa zaidi ya dizaini zetu za asili au za makabila. Kudos everyone.

    ReplyDelete
  4. Nimefarijika sana kuona kwamba tunaanza kujikomboa kutoka pingu za utumwa wa kitamaduni. saa ya ukombozi imefika. vinginevyo hapo ingekuwa mashindano ya kuonyesha nani ana suti ya ulaya ya bei mbaya. tafadhali nifikishie HONGERA zangu kwa mabosi hao wa NMB kuanza kuonesha mfano wa kujivunia utamaduni wetu. Hii pia inakuza uwezo wa ubunifu kwa wabunifu wa mavazi na pia kwa wavaaji wenyewe.

    ReplyDelete
  5. NAONA JAMAA MMOJA HAPO JUU KAPIGA PAMBA YA MAN U HUKU AKISEMA NI VAZI LA ASILI.

    ReplyDelete
  6. ahh ujinga gani huo jamani?hakuna chochote cha kiasili hapo...kitu pekee cha kiasili kwetu ni kujifunika aibu na matawi ya migomba tu!!!

    ReplyDelete
  7. huyo mwenye tambala la NJANO na rangirangi ni M GHANA
    nice one, ila inaelekea sie watanzania hatuna nguo kuonyesha kuwa sie ni watanzania as khanga
    au hao wote ni mabosi nchini kwetu toka nchi zingine za africa?

    ReplyDelete
  8. Japhet wa UswaziOctober 17, 2009

    Alhajj Maggid Nsekela, umependeza sana na hilo vazi la kimwambao( Kanzu, Koti na Balaghashia)
    Umenikumbusha siku ya harusi yako pale Mhasibu House.

    ReplyDelete
  9. Boss kavaa klumper za kidachi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...