kula konozzz na shy rose bhanji aliyetoka kibangladeshi
Home
Unlabelled
NMB wadumisha mila na utamaduni katika kula pamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wamependeza saaana. Samahani, mabazee ndio nini?
ReplyDeleteMnapanga mikakati kila siku na mikogo kibao huku mkitumbua pesa za shirika lakini ufanisi hakuna. Hii ni sawa ni zile Semina Elekezi za Kikwete, badilikeni mnaboa.
ReplyDeleteNafurahi kuona kwamba Watanzania sasa tunaanza kuona thamani kubwa zaidi ya dizaini zetu za asili au za makabila. Kudos everyone.
ReplyDeleteNimefarijika sana kuona kwamba tunaanza kujikomboa kutoka pingu za utumwa wa kitamaduni. saa ya ukombozi imefika. vinginevyo hapo ingekuwa mashindano ya kuonyesha nani ana suti ya ulaya ya bei mbaya. tafadhali nifikishie HONGERA zangu kwa mabosi hao wa NMB kuanza kuonesha mfano wa kujivunia utamaduni wetu. Hii pia inakuza uwezo wa ubunifu kwa wabunifu wa mavazi na pia kwa wavaaji wenyewe.
ReplyDeleteNAONA JAMAA MMOJA HAPO JUU KAPIGA PAMBA YA MAN U HUKU AKISEMA NI VAZI LA ASILI.
ReplyDeleteahh ujinga gani huo jamani?hakuna chochote cha kiasili hapo...kitu pekee cha kiasili kwetu ni kujifunika aibu na matawi ya migomba tu!!!
ReplyDeleteshyrose
ReplyDeletehuyo mwenye tambala la NJANO na rangirangi ni M GHANA
ReplyDeletenice one, ila inaelekea sie watanzania hatuna nguo kuonyesha kuwa sie ni watanzania as khanga
au hao wote ni mabosi nchini kwetu toka nchi zingine za africa?
Alhajj Maggid Nsekela, umependeza sana na hilo vazi la kimwambao( Kanzu, Koti na Balaghashia)
ReplyDeleteUmenikumbusha siku ya harusi yako pale Mhasibu House.
Boss kavaa klumper za kidachi
ReplyDelete