Wadau, tujirushe jumamosi hii

katika ukumbi wa Thai Village (ARABELLA) Masaki.

Party itaanza saa nne usiku.


Kiingilio tshs 5000/-

Kwanja ni hip hop, rnb, utake, na ragga.

Djs mkali Africa Mashariki Amo 'the Nitro' Blaze

na

Homeboyz.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. TOENI MAELEZO BASI PATI YENYEWE INAHUSU NINI???

    ReplyDelete
  2. kaka MICHUZI huyo AMO BLAIZE namkubali sana jamaa anaongea Kiingereza vizuri sana nakumbuka nilivyoondoka BONGO nilimuacha akitangaza EAST AFRICA RADIO katika vipindi mama vile The Cruise,na Top twenty sasa sijui kama bado ni mtangazaji wa hiyo Radio ama alishaacha?!!!
    Mdau-Ukerewe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...