
Mwenyekiti mtendaji wa Clouds Media Group,Bw Alex Kusaga ambaye ni baba yake mzazi na Joseph Kusaga,amefariki leo jioni nchini Afrika ya Kusini ambako alipelekwa kwa ajili ya matibabu.
Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwajulisha kadiri ya zitakavyokuwa zinatujia.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
Pole sana Joseph kwa kumpoteza Baba yako mpendwa. Tunakuombea Mungu akujalie subira na nguvu ya kuweza kukihimidi hiki kipindi cha majonzi makali sana. Ni kazi ya Mungu, na Mzee Alex atakuwa amepata furaha ya kumuona mwanae akileta maendeleo kwa Watanzania wengi, pamoja na kwa familia yake mwenyewe.
ReplyDeleteWe're with you in your pain brother!
With deepest condolences,
Mdau wa 88.4
Big Joe and the rest of the family, my heartfelt condolences and prayers to you as you grieve our old man.
ReplyDeleteGod gives and God Takes We pray that is soul is rested in eternal peace. Amen.
Austin, Sweden
Ebwana michuzi uyu jamaa mbona nilikuwa naye facebook online muda si mrefuu duh inakuaje tena iyoo taarifa....EBU WEKA SAWAA APOO
ReplyDeleteMdau Finland
Mwenyekiti, dada yetu Elizabeth yupo kwenye kiti cha moto, sasa tumpigieni kura, waombe wadau wampigie kura kwa wingi. Hadi sasa amepata kura toka Uganda, Wakenya wanampigia Emma shemeji yao. Watanzania tupo nyuma sana kwa kupiga kura.
ReplyDeleteMdau,
Dubai
Pole sana kwa familia ya marehemu Alexender Kussaga!
ReplyDeleteWengine daima tutamkumbuka kama Town Clerk wetu wa kwanza wa Mji wa Musoma!
Alex, isya omwoyo kajanende na kajanende kwa yote uliyoyafanya!
Born Again Pagan
Mungu Baba aiweke Roho yake Peponi... Amen
ReplyDeletemungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...
ReplyDeletemungu awape nguvu na ujasiri wafiwa kawa wakati huu mgumu..
mungu awe nanyi. (IRENE KAY)
Rambirambi zangu za dhati kwa familia nzima ya marehemu. Kwa Maria na Joseph - tuliofahamiana vema, Mwenyezi Mungu awape subira na moyo wa kuhimili.
ReplyDeletehapo zamani za kale kulikuwa na , mwenye kujua kutenguwa kitendawili natengue au anipe mji , anyway huyo mzee alex ndie alinunua vyombo ambavyo vimemfanya joseph na godfey wapate majina dar es salaam ya mziki nasasa kumezaliwa bongo flava , historia , R.I.P MZEE ALEX
ReplyDeleteWhy is this BREAKING NEWZ???????
ReplyDeleteJoseph pamoja na fammilia yako, poleni sana na Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeletePili Bwana Michuzi Kiswahili unasema tu Baba yake Joseph Kusaga na sio Baba yake na Joseph Kusaga, hiyo hapo haina maana yoyote.
pole sana joseph kwakuondokewa na baba yako mpendwa mungu awatie nguvu faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo
ReplyDeleterest in peace baba kusaga
Poleni familia ya Kussaga.-
ReplyDeletePoleni familia ya Kusaga Mungu amlaze baba yetu mahali pema peponi
ReplyDeletepole sana kaka
ReplyDeleteMungu Aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Rest in Peace- Amen
ReplyDeletemdau 88.4
Poleni sana kwa msiba mkubwa wa baba ndugu zetu kina Sheba, Joseph. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteJoseph,Maria, Sheba na Tungi na ndugu wote Poleni sana wadogo zangu kwa kuondokewa na baba, Mungu awasimamie kwenye kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteR I P baba.
Maria, Joseph, Sheba, Andrew & Tungi poleni na msiba wa baba yenu. Pole kwa ndugu zenu pia. RIP
ReplyDeleterafiki yenu.
Rest in Peace K.Will miss you.
ReplyDeletePoleni sana na msiba. Joseph kwa mtihani wa J1 kuwa siku ya mazishi na Fiesta.
ReplyDeleteMay God bring the family together and pull through and may God rest his soul in peace.
ReplyDeleteMy condolences to the family.
Baba Amani
NH.
Poleni sana wana familia.
ReplyDeleteJose,Tungi,Maria,Sheba,sister Juddy na Andrew.
R.I.P Mzee K.
To all the Kusaga family, our thoughts and prayers are with you all. May his soul rest in peace - forever - Amen
ReplyDelete