Mwenyekiti mtendaji wa Clouds Media Group,Bw Alex Kusaga ambaye ni baba yake mzazi na Joseph Kusaga,amefariki leo jioni nchini Afrika ya Kusini ambako alipelekwa kwa ajili ya matibabu.

Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwajulisha kadiri ya zitakavyokuwa zinatujia.





MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Pole sana Joseph kwa kumpoteza Baba yako mpendwa. Tunakuombea Mungu akujalie subira na nguvu ya kuweza kukihimidi hiki kipindi cha majonzi makali sana. Ni kazi ya Mungu, na Mzee Alex atakuwa amepata furaha ya kumuona mwanae akileta maendeleo kwa Watanzania wengi, pamoja na kwa familia yake mwenyewe.

    We're with you in your pain brother!
    With deepest condolences,
    Mdau wa 88.4

    ReplyDelete
  2. Big Joe and the rest of the family, my heartfelt condolences and prayers to you as you grieve our old man.

    God gives and God Takes We pray that is soul is rested in eternal peace. Amen.

    Austin, Sweden

    ReplyDelete
  3. Ebwana michuzi uyu jamaa mbona nilikuwa naye facebook online muda si mrefuu duh inakuaje tena iyoo taarifa....EBU WEKA SAWAA APOO

    Mdau Finland

    ReplyDelete
  4. Mwenyekiti, dada yetu Elizabeth yupo kwenye kiti cha moto, sasa tumpigieni kura, waombe wadau wampigie kura kwa wingi. Hadi sasa amepata kura toka Uganda, Wakenya wanampigia Emma shemeji yao. Watanzania tupo nyuma sana kwa kupiga kura.

    Mdau,

    Dubai

    ReplyDelete
  5. Pole sana kwa familia ya marehemu Alexender Kussaga!

    Wengine daima tutamkumbuka kama Town Clerk wetu wa kwanza wa Mji wa Musoma!

    Alex, isya omwoyo kajanende na kajanende kwa yote uliyoyafanya!

    Born Again Pagan

    ReplyDelete
  6. Mungu Baba aiweke Roho yake Peponi... Amen

    ReplyDelete
  7. mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...
    mungu awape nguvu na ujasiri wafiwa kawa wakati huu mgumu..
    mungu awe nanyi. (IRENE KAY)

    ReplyDelete
  8. Rambirambi zangu za dhati kwa familia nzima ya marehemu. Kwa Maria na Joseph - tuliofahamiana vema, Mwenyezi Mungu awape subira na moyo wa kuhimili.

    ReplyDelete
  9. hapo zamani za kale kulikuwa na , mwenye kujua kutenguwa kitendawili natengue au anipe mji , anyway huyo mzee alex ndie alinunua vyombo ambavyo vimemfanya joseph na godfey wapate majina dar es salaam ya mziki nasasa kumezaliwa bongo flava , historia , R.I.P MZEE ALEX

    ReplyDelete
  10. Why is this BREAKING NEWZ???????

    ReplyDelete
  11. Joseph pamoja na fammilia yako, poleni sana na Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu.

    Pili Bwana Michuzi Kiswahili unasema tu Baba yake Joseph Kusaga na sio Baba yake na Joseph Kusaga, hiyo hapo haina maana yoyote.

    ReplyDelete
  12. pole sana joseph kwakuondokewa na baba yako mpendwa mungu awatie nguvu faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo
    rest in peace baba kusaga

    ReplyDelete
  13. Ephata SozigwaNovember 04, 2009

    Poleni familia ya Kussaga.-

    ReplyDelete
  14. Poleni familia ya Kusaga Mungu amlaze baba yetu mahali pema peponi

    ReplyDelete
  15. pole sana kaka

    Mungu Aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amina.

    ReplyDelete
  16. Rest in Peace- Amen
    mdau 88.4

    ReplyDelete
  17. Familia ya MwakyamiNovember 04, 2009

    Poleni sana kwa msiba mkubwa wa baba ndugu zetu kina Sheba, Joseph. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  18. Joseph,Maria, Sheba na Tungi na ndugu wote Poleni sana wadogo zangu kwa kuondokewa na baba, Mungu awasimamie kwenye kipindi hiki kigumu.
    R I P baba.

    ReplyDelete
  19. Maria, Joseph, Sheba, Andrew & Tungi poleni na msiba wa baba yenu. Pole kwa ndugu zenu pia. RIP
    rafiki yenu.

    ReplyDelete
  20. Rest in Peace K.Will miss you.

    ReplyDelete
  21. Poleni sana na msiba. Joseph kwa mtihani wa J1 kuwa siku ya mazishi na Fiesta.

    ReplyDelete
  22. May God bring the family together and pull through and may God rest his soul in peace.
    My condolences to the family.

    Baba Amani
    NH.

    ReplyDelete
  23. Poleni sana wana familia.
    Jose,Tungi,Maria,Sheba,sister Juddy na Andrew.

    R.I.P Mzee K.

    ReplyDelete
  24. Flavia MwombelaNovember 05, 2009

    To all the Kusaga family, our thoughts and prayers are with you all. May his soul rest in peace - forever - Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...