Home
Unlabelled
bujumbura mchana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AFADHALI MTANDAO UPUMUE!! KWANI KUNA NCHI FULANI WATU WANA TAAMBIKA SANA KWA UMEME KWA HIVI SASA!!
ReplyDeletemhhh pazuri kuliko dar pia ni wasafi kuliko dar sisi jiji kubwaaaa lakini hamna kitu!!!
ReplyDeleteNatafuta mfuko wa Marlboro kwenye picha sioni! Aibu!
ReplyDeleteSio wali na nsambe bwana,ni wali na SOMBE. we vipi wewe?
ReplyDeleteKaka Michuzi, yaani umeenda kila kona ya Nchi kuliko hata Mheshimiwa Raisi! Kweli nakuaminia!
ReplyDeleteHapo Buju panafanana na Tanga maeneo ya Bombo na Nguvumali!
Mdau wa siku teleee!
Bro Michuzi, marehemu Maneti alikula "kuku na mayai yake" akiwa Buja. Wewe je?
ReplyDeleteThomas acha kupayuka na kushabikia vya wengine.Sasa hizi picha mbili,tatu zinathibitishaje uzuri wa Buyumburaah? Kamji kanaonekana kama upo Sumbawanga kadooogo.Mimi nilishafika Buju miaka kibao iliyopita si lolote si chochote.Dar ni bomba kuliko Bujumbura.kwanza magari yanahesabika.
ReplyDeleteMbona hakuna mabinti mtaani
ReplyDeleteBro michu,ungeenda mitaa ya Buyenzi na Bwiza ili kuwafurahisha wadau wanaotakana kuona mifuko ya rambo na vilabu vya gongo.
ReplyDeleteMdau
-Uzumbura
UNAJUA BAHATI MBAYA MOJA WATZ ILIYOTUKUMBA, NI KUFUKUZA MKOLONI KABLA HATUJAJIWEZA!!
ReplyDeleteMIMI NILIKUWA UZUMBURA MWAKA 90, NI KITAMBO SASA. NILIPIGWA NA BUMBUWAZI NILIPOTUA TU NA KUANZA KUKATA MITAA, JAMAA WAMEFUNZIKA HASA, NI WATU WA MIPANGO VIBAYA MNO!
NIKAJA KUGUNDUA KWA MUDA NILIOKAA PALE CHUO KIKUU KAMPASI YA KIRIRI KUWA KUMBE WENZETU WAKO BEGA KWA BEGA NA WAFARANSA NA WABELEJI KATIKA NYANJA NYINGI TU NA WAMENUFAIKA SANA KWA HILO.
NA MKUU UKITAKA KUFAIDI, USIACHE KUTEMBELEA NA MIKOA YA KANDO YA UZUMBURA ILI UJIONEE MAENDELEO YA HUKO NAKO. FIKA GITEGA, TEZA, RUMONGE. NENDA KAJIONEE KISHA UWAPEPERUSHIE WADAU NAO WAJIONEE.
SISI BAADA YA UHURU TU WATAWALA WETU WAKAFUKUZA WAKOLONI WOTE, ETI NCHI IMILIKIWE NA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI. UBINAFSISHAJI.
NA MATOKEO YAKE NDIO HAYO, NIMERUDI NYUMBANI MWAKA JANA, HUWEZI AMINI JINSI NCHI ILIVYORUDI NYUMA, INFRASTRUCTURE YOTE IMEVURUGIKA KABISA.
ILE KARIAKOO NILIYOICHA SIYO NILIYOIKUTA.
VURUGU TUPU. HATA HUKO KUNAKOSIFIWA, SIJUI MIKOCHENI, SIJUI SINZA, NAKO SHOMBO LINANUKA VIBAYA MNO.
WAKULIMA NA WAFANYAKAZI WAMESHINDWA KUJIONGOZA, WANAHITAJI WA KUWAONGOZA AMBAE KWA BAHATI MBAYA AMEKUMBWA NA AZIMIO LA ARUSHA, HATAKIWI TENA.
NA TUNAKOELEKEA NI KUBAYA ZAIDI. TUMETOROKEA HUKU TUKIWEKA MATUMAINI YA SIKU MOJA KURUDI NYUMBANI ILI KUANZA UKURASA MPYA, LAKINI UKWELI NI KUWA WADAU MNATUKATISHA TAMAA. NA SIWALAUMU SANA, SABABU SI KOSA LENU. LAITI TUNGEENDELEA KUCHANGIA MAWAZO NA MKOLONI, KAMA WENZETU WA MSUMBIJI, KAMA WENZETU WA NAMIBI, KAMA WENZETU WA BOTSWANA, NA BURUNDI, NA KENYA, NA RWANDA, HALI LABDA INGEBADILIKA NA KUWA BORA, WANGETUSAIDIA KATIKA KUJENGA MENTALITI. LAKINI KWA SASA NDIO TUMESHACHELEWA TENA, TUBAKI KUMEZEA MATE MAFANIKIO YA WENZETU.
Mndengereko, Ukerewe
Mh! asante sana kwa kutuwekea huo mji,tuwekee na buyenzi sijui inaonekana vipi.Sikujua kama ni kuzuri,picha niliyonayo kichwani kuhusu burundi ni mbaya sana,lakini nashuru imenipa makaratasi ya ulaya.
ReplyDeleteMkuu hebu ulizia kama Havana Night Club bado ipo. Tulitembelea club hiyo mwaka 2004 na kufurahia sana.
ReplyDeleteHenry
Et wanasema binti wa Kirundi sio mchezo! namna gani hamna hata picha zao.........????
ReplyDeletenimefurahi sana kuona bujumbura inanikumbusha mbali sana 2003-2005 kaka michuzi hebu tuoneshe basi cety cetre avenue de la mission, maana hapo ndio kama posta ya bongo, nakumbuka sisi tulukuwa tunaishi lohero kidogo ni kwa vigogo kama vile mbezi beach, hujafika petit basam?
ReplyDeleteduu home natamani kurudi lakini kimbali niliusika
ReplyDeleteMdau uk
mbona kama mwanza hapa wadau hebu mpacheki vizuri ....
ReplyDeleteMiaka ya 80 wakati wa ukata Bongo Burundi ilikuwa Ulaya yetu .. kwani kila kitu kilipatikana hapo , nguo , mashati ya ndege ;magari , saa za Disco hata dola ziliuzwa sokoni kama nyanya wakati huo, Bongo ukikamatwa na dolla unakwenda kunyea debe,
ReplyDeleteMimi wadau nimefurahishwa na hiyo hali ya hewa ya Bujumbura maana si ya kawaida. ''Joto na unyevunyevu'' kaazi kweli kweli
ReplyDelete...joto lakini unyevunyevu...it reminds me of one of the night stories during the good old days at boarding school. A story of the Kigoma-Tabora train trip by Kalimanzila and a friend...jaso gani bwana mbona murendemurende?
ReplyDeletehawa jamaa wawe watutsi,wahutu,congolese wanadharau sana waswahili, wanaona waswahili hawana mipango wala maendeleo, ni kweli angalia kainchi kadogo haka kanapendeza kama nini sijui? sisi nyerere katufunika macho mpaka leo, tunaringia amani!!!!
ReplyDelete