nahodha wa timu ya Ikulu akionesha kombe bada ya kushinda katika netiboli michezo ya SHIMIWI
Katibu Mkuu Kiongozi , Philemon Luhanjo ( kulia) akifurahia jambo baada ya kumkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa timu ya soka ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ismail Ahmadi, .baada ya kuibuka kidedea kwa kuifunga RAS Mkoa wa Tanga kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali za mashindano ya Shimiwi ya 29 , juzi mjini hapa
Wachezaji wa timu ya Netiboli ya Ikulu, wakishangilia kwa staili mpya baada ya kufungua shampeni mbele ya waachezaji wenzake baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali kati yao na Uhamiaji ambapo katika mchezo huo Ikulu ilishinda mabao 48- 29, na kutwaa ubingwa wa netiboli

Baadhi ya wachezaji wa timu mbalimbali ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, wakipita mbele ya Jukwaa la mgeni rasmi , Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo ( hayupo pichani) wakati wa maandamano ya timu 55 kutoka Wizara, Idara na Mikoa katika hitimisho la mashindaho ya Shimiwi ya 29 yaaliyofikia tamati jana Mkoani Morogoro





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nimevutiwa na sketi za akinadada/mama hao...

    mdau wa pajazz vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...