
Mwanamuziki bingwa wa MTV Africa Music Awards Dapo Daniel Oyebanjo a.k.a D' Banj kutoka Nigeria (wa pili kulia) akiwa na wanamuziki wengine kutoka nchini Kenya toka shoto Nameless, anayefuatia ni Nonini, katikati ni Dr. Sid kutoka Mo Hits Records ya Nigeria na mwisho kulia ni Ikechukwau Rapa aliyeongozana na Di Banji. wasanii hawa leo watakamua kwenye viwanja vya tanganyika packers jijini dar katika onesho lililoandaliwa na straight music
Habari za D'Banj
Habari za Nonini
Habari za Nameless
Ingia hapa Michuzi uwape hii habari wana blogu ya jamii http://andrewyoungpresents.blogspot.com/2009/09/tanzania-stories-of-life.html
ReplyDeleteNimefurahishwa na kilichoandikwa kwenye T-Shirt ya Nonini, sijui ni kampeni au ni utashi tu, lakini nadhani wasanii na watanzania kwa ujumla tunatakiwa kufanya kampeni kama hii kwa shilingi yetu ambayo inaelekea kufunikwa na dollar katika biashara za humu ndani, kitu ambacho si sahihi!
ReplyDelete