RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIONDOA KIPAZIA KUASHIRIA KUFUNGUWA TAWI LA BANKI YA NMB ZANZIBAR MTAA WA DARAJANI, KUSHOTO MTENDAJI MKUU WA NMB BENN CHRISTIAANSE.
RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI ABNEID KARUME AKIKATA UTEPE KUFUNGUWA RASMINI TAWI LA BANKI YA NMB ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIMKABIDHI MPIRA MWANAFUNZI WA SKULI YA KAJIFICHENI YUNUS RAMADHANI KWA NIABA YA WANAFUNZI WA MKOA WA MJINI. KATIKA SHEREHE ZA KUZINDUWA TAWI LA BANKI YA NMB.


MTENDAJI MKUU WA NMB BEN CHRISTIAANSE AKITOWA HUTUBA KATIKA UZINDUZI WA BANKI YA NMB TAWI LA ZANZIBAR DARAJANI.




RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIPOKEA HUNDI YA 12M/- KAMA MSAADA KWA JAMII YA ZANZIBAR TOKA BENKI YA NMB
SEHEMU YA UMATI ULIOHUDHURIA SHEREHE HIZO
WANANCHI WAKIFUNGUA AKAUNTI KWENYE TAWI JIPYA LA BENKI YA NMB ZENJI LEO
WANAFUNZI WA SKULI MBALIMBALI WAKIWA NA ZAWADI ZA MIPIRA ZILIZOTOLEWA NA BENKI YA NMB WAKATI WA UZINDUZI WA TAWI LAKE ZENJI








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ugonjwa gani huu wa watanzania kila mtu kujiita Dr? Wengine siku hizi naona eti Engineer fulani...! Mbona huku juu kuna Maprofessor wenye Nobel Prize lakini bado hawaitwi Dr, Professor kabla ya majina yao? Mainjinia wa NASA hawaitwi Engineer fulani fulani. Wanaitwa moja kwa moja tu kwa majina yao. Huu utamaduni wa kujitukuza ndio unafanya watu wengine hata wanunue vyeti. Tumekuwa obssessed mno na hizi prefix. U-dr uko kichwani mwa mtu, na wala si kwenye jina la mtu. Michuzi, u-dr wa heshima hautumiki kwenye jina la mtu. Kama ingekuwa hivyo basi Koffi Anan angekuwa anaitwa Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr etc etc Koffi Anan.

    ReplyDelete
  2. Mimi kilio changu ni hii sera ya kusumbua wanafunzi wakiwa maskulini.Hizi shughuli za kiserekali za kupokea viongozi, kupelekwa kwenye viwanja kusherehekea mapinduzi na upuuzi mwengine haziwahusu wanafunzi!
    TAFADHALINI VIONGOZI WAACHENI WANAFUNZI WASOME, MUSISUMBUE SUMBUE!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...