Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Abiola Jr. Mikanjuni, TangaNovember 23, 2009

    Nakuunga mikono yote miwili, "inzi akifa kwenye kidonda ni haki yake".
    Nakutakia kila la kheri na mafanikio.

    ReplyDelete
  2. For some reason which I dont know, may be bcoz I love my Girlfriend, I think this youngman need to show some respect in GENDER ISSUE!!!
    How come mwanamke ni KIFO?

    ReplyDelete
  3. Thank you mdau wa 05:23pm! i had the same feeling as soon as i saw this! and im outraged! this isnt funny! kwani wewe uliyeweka hii huna dada? should men look at her(your sister) as kifo? should a man look at your mother as kifo? should a man look at your daughter as kifo? keep your narrow mind and bias to urself and i think u have no respect to your mother!
    there r ways to talk abt AIDS without disrespecting the whole gender, ukome kabisa!
    Neema in New York!

    ReplyDelete
  4. Neema mbona umekuwa mkali una miwaya nini??? Wee kifo tu, mwache dogo atupe burudani...ndo basi tena,utahangaika nao...!

    ReplyDelete
  5. Nautiakasi. Huu ugonjwa si kitu cha kum-beza mwenzako,it doesn't matter aliupata kivipi,anao au hana!
    Mimi,UK.

    ReplyDelete
  6. Jamani nyie mmemuelewa vibaya na hiyo ndio maana ikaitwa sanaa. anachozungumzia hapo ni ngono na ngono iliyo halali ni kati ya mwanaume na mwanamke sasa angechora mwanaume si mngezua mjadala mwingine? ngono isiyo salama ndio huleta kifo. Hebu tuwe wafikirivu hasi Da Neema fikiria vizuri na utafakari sanaa ya mwenzio pamoja na wengine mlio na jazba mtulie tuli

    ReplyDelete
  7. Hii ni sanaa jamani sio mnakurupuka tu bila kufikiria, hapo ukicheki umbo la jamaa na la mwanamke ni tofauti sana, sasa basi jamaa ana mashaka kama mzigo atauweza au ndio ataminywa mpaka pumzi ya mwisho na sio mambo ya ukimwi!!

    ReplyDelete
  8. DOGO ENDELEA KUTULETEA BURUDANI ACHANA NA HAO WANAOJIFANYA GENDER SENSITIVE HAWAJUI KUSOMA NA KUZIELEWA KATUNI-WANAKURUPUKA

    ReplyDelete
  9. Sasa ni SIRI gani anyoomba kutunziwa?
    Bado nadhani kijana anahitaji kuwa mwangalifu na mwenye nidhamu kwenye suala la ujinsia.
    Ukisema "eti umbo..." hapo umeanzisha unyanyapaa mwingine wa muonekana wa mwanadamu ambao pengine hakuna alichokifanya kujikuta mwenye umbo hilo, watani wangu toka mbeya wanajua nazungumzia nini.
    Wewe unajidai unajua kutafakari katuni waweza tupa majina yako kamili tuangalia mtaandao wa BARAZA LA MITIHANI? utatupa na mwaka uliomaliza ili kuturahisishia kazi?
    Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio hasa pale unapojua unachojaribu kukitetea ni kichafu.
    Dogo mchora katuni sijui kama ana uhafamu wa mambo ya jinsia, ni wakati wake kwenda kuyasoma ili ajue, mstari baina ya katuni na heshima ya say gender for this matter, but could be unyapapa on the other hand.

    ReplyDelete
  10. Rafiki wa nov 09:33 nakusamehe bure kwa kuwa hujui unachosema ili uweze kutafakari sanaa lazima aidha uwe msanii au uko kwenye taaluma ya lugha na mazingira yake. Unapomuona mwizi huanzi kumsakama mtu kuwa ni mwizi tu lazima uangalie ni kitu gani kilimpelekea kaiba. Usipokuwa na tafakuri jadidi utaishia kuangalia kila kitu kwa mtazamo hasi na kukasirika pasipo sababu na kujipunguzia maisha kwa kutaka kujua wasifu wa watu kutoka baraza la mitihani, hebu kuwa mpembuzi yakinifu na mambo madogo madogo hayatakupa presha. Nia kuu ya mwana sanaa ni kuumiza vichwa vya watu na kweli dogo kwa hili umefanikiwa, Sanaa hoye!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...