JK na waziri mkuu wa Jamaica Mh. Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara ya siku nne ya kiserikali ya JK nchini humo
rais jakaya mrisho kikwete na waziri mkuu wa jamaica mheshimiwa bruce golding wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na jamaica
JK akiagana na Gavana Jenerali wa nchi ya jamaica Mh. Patrick Allen katika uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Kingston Jamaica mwishoni mwa ziara ya JK nchini humo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Kikwete ila Kuna watu wamemponda Mama yetu Salma eti hata kwenda kutalii kavaa kitenge hajavaa kama Michele Obama vi bukta, Mwacheni Mama yetu Salma anajuwa kujiheshimu anavaa kitenge ndio vazi letu la kujulikana Mama wa Kiafrica. Kingwendu

    ReplyDelete
  2. nshimimana aka dumisaneNovember 27, 2009

    Wa Gwan kaka Bruce pale.

    Wa Gwan.

    = = =
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  3. Bora na bongo ianze kuuza green.maana ya Bongo kali sana(cha mgomba)

    ReplyDelete
  4. waosha vinya na macho nauliza je mnaona sawa mkataba utiwe na rais wetu ha nji ya green aje waziri wao atiye siini,hamuoni kama heshma ya raisi wetu imepunguzwa hapo.Kama hamuoni poleni sana tena sana kwa sababu mngewajua jinsi wajamaica wavyowaponda waafrica mngeniunga mkono haya nisemayo, tembeeni nchi za wenzetu mungu akukujaliyeni na mkae nao na kujifunza mtachoka wenyewe..
    wao japo kuwa wana utamaduni wa kiafrica lakini hawawapendi waafrica labda marasta ferian peke ndo wanatupenda na kutudhamini sisi waafrica wote.

    si shangai kumuona raisi wetu mpendwa kutia mkataba na waziri wao,kwa nini wasimueke nawao raisi wao..

    ReplyDelete
  5. Anony 09:06.

    Mkuu wa serikali ya Jamaica ni Waziri Mkuu, hakuna Raisi Jamaica. Jamaica wana Gavana ambaye ni mwakilishi wa Malkia wa Uingereza ingawa Jamaica ni nchi huru. Wao wameamua kuwa na serikali ya namna hii na sio kukata kabisa Malkia wa Uingereza katika nchi yao kama sisi.

    Majibu ya muundo wa serikali ya Jamaica au nyingineyo ni rahisi sana kupata katika internet. Jaribu ku google kabka hujauliza maswali. Au muda wako utaisha katika cafe?

    ReplyDelete
  6. Mie nildhani vingozi wote na raia wote wa jamaika wana rasta

    ReplyDelete
  7. yani nimechekaaa annon 12.27pm...
    dah
    aya hii mpya kumbe waziri mku ndo kiongozi mkuu?na wana gavana anamwakilisha malkia?so wamependa kuwa km one state of UK???au

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...