Meneja Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bw. Naulu Kuwese akitoa ufafanuzi juu ya mwelwkeo wa hali ya Hewa na Athari zake nchini kwa Maofisa habari na Mawasiliano wa Wizara, Taasisi, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali leo katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha (AICC).
Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bw. Bernard Murunya akiongea na Maofisa habari na Mawasiliano wa Wizara, Taasisi, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali (hawapo pichani) mara baada ya kutembelea hifadhi ya Ngorongoro kuona vivutio mbalimbali vya utalii.Kushoto ni mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana.

Maofisa habari na Mawasiliano wa Wizara, Taasisi, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili ndani ya bonde la hifadhi ya Ngorongoro.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...