Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe.Samuel Sitta akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha - Rose Migiro alipomtembelea ofisini kwake, makao makuu ya Umoja huo mjini New York Marekani leo. Spika yupo Jijini New York kuhudhuria Mkutano wa pili wa kamati ya maandali ya mkutano wa Maspika wa Mabunge Duniani utakaofanyika Julai 2010 huko Geneva. Chini wakiwa na Afisa habari wa Bunge Owen Mwandumbya wa Bunge.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Owen, hebu chukua ndege fasta uje California tule raha kwanza kabla hujarudi Bongo kula vumbi. Niandikie email mtu wangu- Prof. Stanford.

    ReplyDelete
  2. comment ikondolewa, maana yake message delivered au?

    ReplyDelete
  3. Sitta ni mmona wa maspika wanaofanya vema sana duniani kwa maslahi ya wanyonge wa nchi hii. Tuko pamoja mkuu... hata kama wanakupinga, wewe songa mbele kwa umma uko nyuma yako na Mungu ndio kiongozi.

    Zingatia ibada pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...