



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sisi weusi sijui kwa nini hatupendi kujichanganya, sasa wanakaaje wote watatu sehemu moja kwenye mchanganyiko kama huo?
ReplyDeleteWewe anony hujui usemalo, Picha ya kwanza kama ni kukaa pamoja sitting arrangement inazingatia alphabetical order ya majina ya nchi kuanzia SouthAfrica, Switzerland (labda mzungu alienda chooni), United Republic of TZ na Mexico (labda ni Mwenyekiti). Picha ya pili kuna Mzungu katikati.Picha ya tatu ni cocktail party hawakai unazunguka na kuzungumza na watu sasa ulitaka uwekewe picha zote Spika Sitta alizokuwa anazungumza na wazungu au Wamarekani.
ReplyDeleteMzee Six hakikisha unaondoka na John. Ni ushauri tu.
ReplyDelete