Ndugu Andrew Kyabashasa wa Rome, Italy anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Mzee Godfrey Kyabulyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 17 November 2009 Katika Hospitali ya Mikocheni, Dar Es Salaam.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Burugo, Bukoba kwa ajili ya mazishi inafanyika Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa binti yake Winifrida Kyabulyo.
Mungu alitoa, na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.
Kwa niaba ya Watanzania hapa Roma na Italia kwa ujumla tunakupa pole. Mwenyezi Mungu amlaze Marehemu Mzee Godfrey Kyabulyo Mahali Pema Peponi. Amina
Andrew Mhella
Katibu wa Watanzania Italia Tawi la Roma
Source: www.watanzania-roma.blogspot.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...