Mlezi wa Miss TZ na ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Mh. Emmanuel Ole Naiko akimkabidhi bendera ya Taifa Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald ambaye anaiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2009 Desemba 2, 2009 huko Sandton, Sauzi. Miriam anaondoka kesho kuelekea nchini humo ili kujiunga katika kambi ya Miss World pamoja na warembo wengine wanaowakilisha nchi zao.
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wazimu mtupu!
ReplyDeleteHi Miriam, nakutakia safari njema and wishing you all the best.
ReplyDeleteSijui hata kama huwa unasoma internet masikini wa Mungu. Maana nimegunduwa hawa ma miss ni waongo sanaa, wengi wao ni division 0 au four mbayaa ya form four, lakini wanadanganya kuwa wamemaliza form six, na wengine huwa wanadanganya wametoka au wako vyuoni ungo mtupu. Wanaosema kweli wale wa Miss High Learning (Universities)kwani wao wanakuwa wameanzia vyuoni kwao, lakini washiriki wengine huwa wanachapia chapia tuuu. Kwa mfano mwaka huu UDSM alikuwa 1 tu, na IFM 2 tuuu, wengine wotee hakuna kitu. Ni form four tena wengi akiwemo na Miriam mwenyewe wamefeli vibaya sana.
Anyway safari njema na mafanikio mema.
Uko mzuri unaweza ukashinda kitu, japo lugha itakuangushaaaaa.. Sidhani kama hiyo english uliyosoma huko English Fountain kwa muda mfupi hivi itakusaidia kitu.
bendera iyo tu?au atapewa ile kubwa akifika kule
ReplyDeletewish u luck girl
i hope na dvd yake nyee kina lundenga mmempa ende nayo!maana...lol
ReplyDeleteHapo 3 bila!
ReplyDeleteah wapi,ndo wale waleeee..hakuna cha ushindi hapo wala nini,anaenda zake kula vekesheni ka uncle michuzi.
ReplyDeleteHaaaya vekesheni njema mama,si tunasubiri libeneke la mapicha tu.