TANGAZO TANGAZO

NATAFUTA MKALIMANI WA KUTAFSIRI KUTOKA KIPOLAND KWEDA KISWAHILI NA AWE ANAJUA KINGEREZA.
KWA MAELEZO ZAIDI TUMA EMAIL KUPITIA,
nganzo88@yahoo.no
SIMU
+4747262181.
Wako
JB PROMOTIONS&JB HIPHOP WEAR-

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. sasa tangazo mbona halivutii!
    yaana invitation to treat haipo kabisa.
    we unatafuta tu mkalimani hata huonyeshi faida atakazo zipata. ni kazi ya mda gani au wapi ingesaidia ziaidi kumfanya mtu avutiwe na tangazo. hapa hata kama nini mtu ataniuliza maswali mengi sana hasa inapokuwa hawezi kupata nafasi ya kusoma hili tangazo.
    marketing jamani!

    ReplyDelete
  2. Tumia Google translate from Polish to English then from English to Swahili

    ReplyDelete
  3. kipoland?kipolish ndugu

    ReplyDelete
  4. mimi sijamuulewa huyu boss,anatafuta tuuu mtu wakumtafiria atamlipa au ni kazi ya kanisa tuu,kama kuna malipo sawa mimi naweza hiyo kazi,naongea lugha saba chagua utakazotaka kutafsiriwa,kirasha kipoland chingereza,kimanyema,kifaransa kinoshki na kibondei,kazi kwako

    ReplyDelete
  5. kipolish nayo si sahihi,ni sawa na kusema ki english.Nafikiri ni Kipolo

    ReplyDelete
  6. Yupo jamaa yangu na kama kazi inamaslahi anaweza kuifanya tuwasiliane kwa maelezo zaidi piga Marie Stopes Tanzania

    ReplyDelete
  7. MKUU

    HUYO MKALIMANI UNAMTAFUTA WAPI?

    UNAMUHITAJI KWA SHUGHULI YA MARA MOJA AU MUDA MREFU; TAREHE N.K

    FAFANUA KIDOGO, NINGEPENDA KUKUSAIDIA.

    ReplyDelete
  8. kipolish....alaaaa
    pesa jee?

    ReplyDelete
  9. wasiliana na mkamap@yahoo.com au wasiliana na mwenyekiti wa ccm Islington -London ni mtalaam wa lugha zote hizo.

    ReplyDelete
  10. Mmh!!, mbona ananichanganya!!!. suala la kuandika hicho kilugha siyo issue, iwe kipolish, kipoland au kipolo nimeelewa. Tatizo langu ni awe anajua Kiingereza. Hapa ndugu yangu ni Kipoland kwenda Kiswahili, kama sikosei Kiingereza cha nini!. Kama unataka na Kiingereza ungeeleza wazi tu. Hata hivyo asilimia kubwa ya wanaotafsiri Kipoland chako kwenda Kiswahili watakuwa wanafahamu na Kiingereza. Uwe makini. USHAURI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...