MYSORE: The Kuvempunagar Police on Saturday arrested 10 foreign students on the charges of assaulting three police constables and causing public nuisance.

Nine of the arrested are from Tanzania and the other one is a Kenyan national. Seven of them are studying in the JSS Law College and the rest in the SBRR Mahajana’s College, the police said.

Residents of Kanakadasanagar had complained to the police that the students were causing nuisance in the locality allegedly in an inebriated condition.
Around 4 a.m., three police constables went to the building in which the students were residing for an inquiry. However, the students assaulted them and tore their uniform, Kuvempunagar inspector Dhananjay said.

On learning about the incident, a police team led by sub-inspector Prasanna Kumar rushed to the spot and took the students into custody. Seven cars, two motorcycles and liquor bottles were seized, the police said.
for source

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Walikuwa wanashangilia ushindi wa Simba halafu wakapitiwa nini? Anyway, hatujui kisa vizuri lakini WaTZ tunajitahidi sana kuwa wastaarabu tuwapo nje, lazima kuna kitu hapa plz follow up and come back.

    ReplyDelete
  2. story ni fupi sana haieleweki hata ukifuata hiyo link, wadau tupeni data zaidi hapa naona kama ukweli ni siri.

    kwa kweli inabidi tuwewaangalifu sana hizi nchi za watu, kuna maudhi mengi sana na maisha ya club ni risk, jitambue kuwa hapo ulipo sio kwenu jifanye mnyonge na usijifanye unataka haki unayostahili

    ReplyDelete
  3. watanzania tulioko India jamani ebu tutulie maana hili ni tukio la pili ndani ya miezi 3...
    tusome jamani

    ReplyDelete
  4. I dont really think if that was a reason!

    ReplyDelete
  5. Hili si tatizo la Watanzania tu. Ni tatizo la Waafrika wote. Nimekaa na Waafrika magharibi, Waethiopia, WaTz nk nk huku nje. Wote ni kitu kimoja. Mathalani, ktk nchi zilizoendelea kuna msongamano mkubwa wa watu. Watu wanaishi ktk apartments au Condominia. Utakuta mtu anaishi ktk apartment, amezungukwa na majirani lukuki lkn ana-behave km yuko kisiwani vile. Anafungulia mziki kwa fujo tena saa 8, 9, 10 usiku! Akitoka kubeba maboksi shift za usiku ana-assume kila jirani wake ni mmbeba box na karudi muda huo huo. Anagonga milango km anataka kuivunja vile. Kila usiku kwenye apartment yake kuna kelele fulani utadhani anafungasha ili ahame.

    Jamani tuheshimu majirani zetu (whether in Tz au nje). Ukifanya kitu, kwanza fikiria km hakitamsumbua jirani yako. Usiwe mbinafsi. Usijifikirie wewe mwenyewe tu. Usiwe bughugha kwa maisha ya watu wengine. Watu wakikuchukia unafikiria ni wabaguzi. Km, ni vigumu kwa weusi kupata nyumba ya kupanga Brussels. Landlords wanaona ni vema nyumba ikae wazi kuliko kumpangisha mweusi. Rangi si sababu ila ni jinsi tunavyo-misbehave. Ukipangishwa hujali usafi wa choo. Unataka Brussels iwe km Uwanja wa Fisi ulikotoka. Wakati mwingine choo ni cha ku-share. Watu wana-associate tabia mbovu hizi tulizonazo na rangi ya ngozi.

    Hawa wa India wamefanya kosa kubwa sana kuwapiga polisi. Bora wangeishia kupiga kelele. Kosa la kumpiga polisi kwa nchi za watu linatosha kabisa kukupeleka jela au kukurudisha kwenu. Polisi wa USA wanaweza hata kuwapiga risasi kwa vile wako sensitive sana. Kuna raia huwa wanapiga risasi pia. Kwa hiyo wanaweza kukuwahi wao kwa kufikiria kwamba utawadhuru.

    Ushauri: nchi za watu, kuwa mpole.

    ReplyDelete
  6. Jamani Watanzania tuishi kwa amani sasa hao wako India kusoma sheria au kusomea Ubondia basi watuambie kama wamegeuka kuwa Mike Tyson. Amani na utulivu ndio Utanzania. Ishini vema nchi za watu sio kwenu huko!.
    Ni mimi mkereketwa.

    ReplyDelete
  7. wahindi ni wakorofi sana hawapendi waafrika kabisa sasa tulioko india tunaishi kwa wasiwasi sasa coz matukio ya watanzania yamezidi na pia vituo vya polisi watatuchoka sasa,jamani tubadilike watanzania tuko wengi sana mysore pia tua kwamba wahindi wawawezi kumtofautisha mwafrika ukiwafanyia lolote wakimkamata mwafrika yeyote analo,tunajua wanachofanyiaga watu,asusani kwenye ajali,mwezi wa kumi ulikua ni wa matukio tuu na watanzania ajali nyingi,jamani sala na maombi ni muhimu sana kwanini matukio kila muda? tujiulize wapendwa.jamani mabadiliko muhimu,all the best kwenye mandalizi yenu ya pepa ijayo,mbarikiwe

    ReplyDelete
  8. WATANZANIA WOTE WA MAYSORE INDIA SASA TAMKO LIMETOKA POLICE KWAMBA MTANZANIA YEYOTE ATAKAYEONEKANA MTAANI KUANZIA SAA TANO USIKU ATAKAMATWA KWA HIYO NI KUTULIA MAKWETU KAMA WAHINDI SAA NNE KAMILI WAKO NDANI WOTE,JARIBUNI KUJIHADHARI NA TAMKO HILI ANGALAO HUU MWAKA UISHE,IMEKUA ISHU HAPA

    ReplyDelete
  9. waTanzania ni bora ukubali kufuata sheria tunapokuwa nchi za watu,india programs zote za usiku mwisho ni 11:30pm inashangaa kuona watu wanavunja sheria hizi jamani ni utaratibu wao si wa SERIKALI YA JK?
    vijana hao inawezekana wakatoka huku central jail Mysore,lakini suala hilo liwe ni fundisho kwa wengine kwmba tunapokuwa nchi za watu sheria lazima ifuatwe,noel,fredi,evans,abuu,amani na wote mliohusika mkitoka huko mujirekebishe.
    India hamkwenda kufanya mashndano ya kimaisha kuonyesha bali mko kimasomo.nasema hivi nikiwa najua makundi ya kijinga yaliyoko Mysore.
    Tatizo hili lilichangiwa na ushindani wa kijinga ,watu wanashindana,makoko alikuwa anaonyesha watanzania wenzake wapi atafanya BIRTHDAY PARTY yake,vijana hapo juu wakaona waandae tafjira bubu kwao jumba lijulikanalo kama "big brother"
    Mysore kama makundi ya kijinga hayataisha ni ukweli usiopingika watanzania wengi wataendelea kuishi maisha ya hatari huko
    mujirekebishe watanzania wa mysore.

    ReplyDelete
  10. Jamani, mbona mimi sioni habari yeyote ya ajabu hapa??? yaani hizi ni habari za kawaida ladba mwandishi alikuwa anasisitiza kuwa ni watanzania, na pia kuwaabuse askari. lakini sioni jambo lilolte la ajabu kwenye hii post. - kokoliko

    ReplyDelete
  11. watu wameshaanza kuwanga eeeh mbona majina yanayotajwa ya watu waliokamatwa sio? mmh

    ReplyDelete
  12. Tambuu ziliwalevya hao wakaamua kuwapa kipondo ndata.

    ReplyDelete
  13. ELIMU INA ADABU ZAKE. WATU WASIO WA TAALUMA UTAWAONA TUU.

    ReplyDelete
  14. wanaoshikiriwa ni fred rugina,shaun,noel shiyo,evanc na wengine wadau watanisaidia

    ReplyDelete
  15. mungu mbariki kila mtanzania aliyekuwa mysore.upendo na amani muhimu,mpende jarani yako kama nafs yako.haki itapatikana na ukweli utajulikana!

    ReplyDelete
  16. Mysore October 31, 2009: Police today took 10 students from Kenya into custody at Dattagalli in the city, for creating nuisance in the locality and also for assaulting the policemen.

    Police said the students belonging to JSS Law College in Kuvempunagar, allegedly assaulted three policemen, who went to their residence following a complaint from a neighbour. The students, tenants of a house belonging to a Jayanagar resident, allegedly boozed and created nuisance in the locality till late in the night every day.








    The neighbours had advised them to mend their ways but to no avail. One of the desperate neighbours went to the police station in the early hours and sought their assistance. When the policemen arrived at the house of the Kenyans, the students dragged them to a room and started beating them.

    The policemen, however, managed to come out and locked the main door of the house from outside. On receiving information from the policemen, an Inspector rushed to the spot with a team of 50 policemen and took the students into custody. They were subjected to medical examination at K R Hospital here, where the doctors found them to be under the influence of alcohol.

    The injured policemen were being treated in a private hospital here, police added.

    http://news.webindia123.com/news/articl … 73863.html

    ReplyDelete
  17. Jamani hili swala lina ulterior motives ndani yake. Watu wengi hata hivyo hawajapendezwa na namna serikali imelichukulia swala hili. Ni kama vile Mheshimiwa balozi hana watoto??? Yani swali la kwanza baada ya kupewa taarifa anataka kujua kama kuna mtoto wa mkubwa asije haribu kazi kwakuwa hakuwepo basi "watoto wa mysore hawana adabu acheni sheria ichukue mkondo wake" angekuwa mwanae balozi David yumo humo angesema hivo???consi

    Lakini tujiulize tangu lini ni makosa mtu kukaa kwake kunywa pombe na kujiimbia? Hivi inaingiaje akilini polisi waliopitia jeshi watatu wenye silaha zao wanashambuliwa na vijana a kumi ambao hawajabeba hata chupa ya soda? Polisi waliokuja kutuliza ghasia kwa kuwashambulia watu kwenye nyumba yao moja kwa moja bila hata kuuliza?

    Wahindi wanatubagua nyumbani kwetu wenyewe watashindwa kufanya hivyo kwao wenyewe???

    Mnaojifanya mnataja majina haiwasaidii chochote wala kuwaongezea umaarufu. Haya ni matatizo tu siku zote hayana mwenyewe leo kwao kesho kwako.

    ReplyDelete
  18. people plz dont just comment just becoz u gt the gut to comment... we tanzanianz out here..in india.... the tendency of fighting police z nt on our hands n we av never done dat before..its just dat u dnt stay out here and experience the issue bt we r nt prefered by the citizens cz of there own diffrncs n culture diffnces... all in all.... no police was bitten up it just acsndle........ we are all aware dat we r nt in our country bt some treatment treated to us..r so nt fair.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...