Home
Unlabelled
pinda atembelea monduli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa nini tunatumia, Waziri mkuu au Raisi mstaafu hali kuwa tunajua mara nyingi kwamba waziri kama huyu kajiuzulu na Raisi aliyestaafu Tanzania ni Nyerere tu. wengine wote sio kwamba wamestaafu bali Katiba haiwaruhusu kugombea tena. je kama Raisi akishindwa kwenye uchaguzi baada ya miaka yake mitano ya kwanza tutatumia mstaafu pia? mimi naona neno zuri ni Raisi aliyepita.
ReplyDeleteamba baba
ReplyDeleteNdugu acha jazba na kujichanganya mwenyewe! Rais wa nchi anapoapishwa kuanzia dakika aliyomaliza kuapishwa ni Rais kulingana na katiba, hata akifa baada ya dakika moja baada ya kuapishwa jina lakuwa Rais halitafutika katika historia ya nchi, kwahiyo Marais waliostaafu au muda wao kuisha kulingana na katiba wataendelea kuwa na sifa ya Rais hata baada ya kufa. Nafikiri hujui hata maana ya kustaafu ni nini tafuta walimu wa kiswahili wakufasirie nini maana ya neno kustahafu. Katiba imewastahafisha huko ni kustahafu Mwalimu Nyerere aling'atuka hakustahafu kwa taarifa yako! Nafikiri ungeandika jina lako kwa msaada wa pembeni inaelekea umekurupukia mada usiyoijua. Pole ndugu.
ReplyDeleteKufa kufaana,
ReplyDeleteha ha haa eeeehhhheeee former president clinton kwenye cnn kila leo wanatamka namna hii je kiswahili chake ni kipi??
ReplyDeleteKiswahili safi hapa tungesema waziri mkuu wa zamani ingeleta maana nzuri na kulinda heshima yake bila watu kuanza kuchokonoa yaliyosahaulika. Waziri tofauti na Rais. Kwa maana hiyo waziri anapoacha au kuachishwa kazi yake hapo ndio unaanza mwanzo wa kuitwa waziri wa zamani wa wizara fulani
ReplyDelete