Kaimu Balozi Bw. Chabaka Kilumanga akiwa na maafisa wengine wa Ubalozi wa Tanzania London, wakimkaribisha rasmi kwa chakula cha usiku Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu Mheshimiwa Hezekiah Chibulunje na Ujumbe wake ambao unahudhuria kikao cha 26 cha Mkutano Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia taratibu na sheria za mambo ya Bahari Ulimwenguni (26th Session of of International Maritime Organisation (IMO) Assembly ) ulioanza Makao Makuu ya Shirika hilo jijini London tarehe 23 Novemba na unatarajiwa kumalizika tarehe 4 Disemba 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...