Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua jengo la wagonjwa wa n je (OPD) la hospitali ya wilaya ya Tandahimba lililojengwa kwa msaada wa mfuko wa rais wa zamani wa Marekani Clinton akiwa katika zaira ya mkoa wa Mtwara.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kitama wilayani Tandahimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mtwara


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hebu angalia chama chetu CCM jinsi tulivyoenea, tuwe wakweli, hapa kuna cha upinzani kweli??

    ReplyDelete
  2. I LIKE THE GREENISH, FANTASTIC! I MEAN TREES NOT CCM, LOOK AT TREES BY YOURSELF, I MISS THOSE PLACES, I GREW UP AT NEWALA, CHITANDI VILLAGE, JUST OFF NEWALA SAY 5KM AWAY. THOSE DAY LIFE WAS SO SWEET. MSIMU WA MAEMBE YA NEWALA MJINI MEUSI NA MA-INZI KIBAO UNAYABUGIA HADI TUMBO NGENGE. FABULOUS!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...