Home
Unlabelled
24 DEC 09 XMASS EVE PARTY READING !!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KAKA MICHUZI NASHUKURU KWA KUBANIA POST YANGU YA SALAMU ZA XMAX NILIYOKUTUMIA HATA KAMA UJUMBE NILIOTOA HAUNGEWAFURAHISHA WOTE LKN HIKI NDICHO KIPINDI CHA KUKUMBUSHANA KUACHA YALIYO MABAYA YASIYO MPENDEZA MUNGU.SIO KILA UJUMBE UNAFURAHISHA LKN MAMBO MENGINE LAZIMA YAONGELEWE KAKA YANGU DUNIA IMEHARIBIKA LAZIMA TUONGEE.NAJUA UKO NEUTRAL LKN MBONA ULIWEKA ILE POST YA WANAUME WANAOOANA KUONESHA JINSI DUNIA IMEFIKA PABAYA,SASA HUONI UJUMBE WANGU UNA UMUHIMU AU UNAOGOPA KUCHUKIWA NA WADAU?
ReplyDeleteMichu muhimu ni kuubandika huo ujumbe wake badala ya kubandika malalamiko.
ReplyDeleteRhetoric Question:
Michu wewe sasa ni mwandamizi katika fani hii, kwa nini unalalamikiwa na watu kuhusu kuwaminyia wanapotoa comments zao ambazo si za matusi.
Tafadhali kama kuna ukweli basi ubadilike vinginevyo Libeneke la jamii linabadilika na kuwa la binafsi kwa maslahi binafsi.