BongoDjs presents xmass eve party on
thurs24thdec2009
@the only place 2 be face nite club
reading berks rg1 7je
from 10pm till 5 o'clock in the morning
lets party together
entry £10
Show sponsored by bongotimes.com
for more details contact 078553482158 or 07737800606
dont miss!!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KAKA MICHUZI NASHUKURU KWA KUBANIA POST YANGU YA SALAMU ZA XMAX NILIYOKUTUMIA HATA KAMA UJUMBE NILIOTOA HAUNGEWAFURAHISHA WOTE LKN HIKI NDICHO KIPINDI CHA KUKUMBUSHANA KUACHA YALIYO MABAYA YASIYO MPENDEZA MUNGU.SIO KILA UJUMBE UNAFURAHISHA LKN MAMBO MENGINE LAZIMA YAONGELEWE KAKA YANGU DUNIA IMEHARIBIKA LAZIMA TUONGEE.NAJUA UKO NEUTRAL LKN MBONA ULIWEKA ILE POST YA WANAUME WANAOOANA KUONESHA JINSI DUNIA IMEFIKA PABAYA,SASA HUONI UJUMBE WANGU UNA UMUHIMU AU UNAOGOPA KUCHUKIWA NA WADAU?

    ReplyDelete
  2. Michu muhimu ni kuubandika huo ujumbe wake badala ya kubandika malalamiko.

    Rhetoric Question:
    Michu wewe sasa ni mwandamizi katika fani hii, kwa nini unalalamikiwa na watu kuhusu kuwaminyia wanapotoa comments zao ambazo si za matusi.

    Tafadhali kama kuna ukweli basi ubadilike vinginevyo Libeneke la jamii linabadilika na kuwa la binafsi kwa maslahi binafsi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...