Mdau Adina Edward mara baada ya kula Nondozzz yake ya Bacherol Of Public Adminstration in Public Service Management katika chuo kikuu cha Mzumbe University
Adina akijidai na wazazi wake mara baada ya kula nondozzz yake


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELADecember 18, 2009

    HAWA NDIO WATU MAKINI KUTOKA CHUO CHANGU CHA MUZUMBE UNIVESITY YA CHUO KIKUU CHA KULE MOLOGOLO. KIDUMU MUZUMBE, MUZUMBE OYEEEEE. HASHEEM THABEET KASOMA MUZUMBE, NABII YOHANNA MASHAKA KASOMA MUZUMBE NA HATA RAIS WETU MAKINI JK KASOMA MUZUMBE DIGIRII YAKE YA UCHUMI

    ReplyDelete
  2. hongera saaaana bidada kwa kula nondo si mchezo hongraaaaa

    ReplyDelete
  3. congratulations, it is just one step ahead, the world is full of challenges so be strong and use your knowledge effectively and efficiently.

    ReplyDelete
  4. Chuo Kikuu cha Mzumbe au Mzumbe University.

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  5. ha ha haa mdau wa tatu hapo juu humjui peter nalitolela eeh huyo ndo zake na ndio misemo yake hiyo ameshindikana ukitaka kujichekea fatiliaga comment zake nachekaga hadi basi

    ReplyDelete
  6. Kwa hiyo hivi sasa anatafuta kazi au anarudi kazini?. Maana sioni mantiki, hebu tuwaweke wahitimu wote kwenye blogu hii na course zao kutoka vyuo mbalimbali tuone itakuwa nini?.

    ReplyDelete
  7. nampongeza mwanadada kwa kuweza kufikia stage hio. Pia tujitahidi sana kutumia elimu zetu vizuri na tutumikie taifa na siyo kujinufaisha na kujigamba. POPOTE UTAKAPOCHUKUA KAMA DEGREE AU MASTER au Phd kama chini ya mti au darasani basi ina thamani.

    ReplyDelete
  8. mtoto wa kike akimaliza shule kama mzazi wa kiume(baba)uwa na furaha tele moyoni na kujigamba kuwa binti yangu huyu bwana,unaweza kujua hicho kitu muangalie huyo mzee sura ilivyokuwa ya furaha.lkn sasa ingekuwa kinyume mtoto angekuwa wa mama na mitusi tele.HONGERA DADA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...