Home
Unlabelled
basi la wifi lanusurika kuungua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwa mama mwee shindu kwenoko,Baaa ndo watu wangeungua tuuu kosa vifaa hivyooo.Ama!!!!!Missing south country madly.
ReplyDeletemwe manganya! Kutibuli? Kulijumushilanga? chinga gal, Chinga boi wa london kimwera kinagonga kidogo! may be unaweza kusaidia.....Makinijoe@yahoo.co.uk.
ReplyDeleteThank god no one was injured! Umuhimu wa fire exstinguishers kwenye vyombo vya usafiri umejidhihirisha kwenye tukio hili, kwani possibly maisha/majiraha ya wasafiri yameokolewa
ni lini wizara inayohusika na usafiri italiangalia hili suali la matairi tanzania? ni asilimia kubwa mnoa ya ajali za magari tanzania tuzisikiazo zinasababishwa na kupasuka kwa matairi. jee hii ni inatokana na aina ya matairi yauzwayo tanzania au ni madereva kuendesha magari yakiwa na matairi vipara?
ReplyDeleteiwe sababu yeyote kati ya hizo mbili au nyengine, nadhani wakati umefika kwa wizara husika kulianagalia suali hili kwa haraka sana na kuchukuwa hatuwa za kukomesha ajali hizi.
Wifi eee, Rest in Peace. Ndio hivyo tena.
ReplyDeletethubutu yake wifi ilo,basi gani ilo mabati tuuu,ukikaa ujihami utakatwa na mivhuma ya kutu.Mi naona nilingeungua lote tu labda watapeleka basi lenye hadhi kidogo.Ubelu wao huo.
ReplyDeletemmm mwakaka nne nngamanya shimwera,napita kulabdialabdia tu.shindu kuweleketa.
ReplyDeleteDuh si mchezo, tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi kama kusingekuwa na hivyo vifaa vya kuzimia moto. Hivi wifi ndio huyo huyo "wifi nae" Aise wandugu mliokimwaga kilugha mminikuna sana. itabidi niwatafute na mie nipate darasa kidogo.
ReplyDeletePoleni wahanga...
Binti Mapua.
Nilipanda WIFI NAE kama miaka mitano iliyopita nikiwa naelekea chuoni MTWARA.nimefurahi kuona katika hiyo ajali watu wamepona ni jambo la kumshukuru MUNGU sana.
ReplyDeleteMdau Ukerewe!!!
binti mapua huyo ndio original wifi nae.hapo one way to Nachiiiii tu via masasi au sio .Home sweet home.Mdau italy hapa wakilisha.
ReplyDeletehuu niuzembe wa mamlaka husika kama SUMATRA nanyengine pia nahata wamiliki wavyombo vyausafirishaji tumeona kwawenzetu chombo chausafirishaji hakipewi kibali chakutumika mfano RoadTax kabla hawajaonyesha cheti cha MOT yaani gari ikishachunguzwa/kukaguliwa Parts muhimu yakiwemo matairi,breaks,taa zote,mfumo mzima wautoaji moshi,cluch,gas pedle,nk ikiwa vinawezakudumu kwamuda wa mwaka basi inapasishwakuwezakutumika naikionekana kimoa/zaidi yahivyo nikibovu gari inakuwa imefeli namatengenezo yanafanyika,hii imesaidia kupunguza ajali barabarani kwaasilimia kubwa sana,Pia muajili anampatia kazi dereva ambaye anahold class D leseni kuendesha lorry/basi,hawana experiance yaudereva,leseni zamagumashi,ubovu wa barabara,speed limit,rushwa,hivi vyotevinachangia katika matatizo barabarani,sio kama serikali inashindwa kuondoa kero hizi ilakutokana naubinafsi uliojaa bainayao fikilia kuhusu kujenga nyumba kwagharama ya bil 1.4,RICHMOND,APTL,mishahara/posho za wabunge na mawaziri,namengine yaliyotokea nayanayoendelea chinichini.nahii mifumo yaukolono mambo leo.
ReplyDeleteChinga gal, u made my day! Been loughing all day today! Its a shame that i cannt respond in that beautiful language! I gota speak to ainagwe mishi, to pick up a bit more of this!! Will be timbilila timbilila pepano til u dish out more of the same!!! Bukala pe? You seem to have more in your reserve than i do! lol
ReplyDeleteHavent been to Ruangwa for a long time!! This has taken me a waaay back!!!
We shuld thank god that nothing serious happened to any passenger and they will leave to see year 2010 and beyond!
Mwa dada m trying not to beleketa too much ! .........chinga boi makinijoe@yahoo.co.uk