Home
Unlabelled
????????????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeipenda hii! I think it makes a whole lot of sense!
ReplyDeleteNadhani chance ya kujibu ilikuwa ndogo, so mshauri akatoa jibu kwa tatizo la kwanza pekee.
ReplyDeleteNimecheka mbavu sina, this is hilarious!!!-Maggie- Canada.
ReplyDeleteHii ni kali na John ni muelewa sana wa swali. Alivyojibu ndivyo haswa, kwa sababu shida ya huyo mama ni gari na ndiyo iliyompeleka nyumbani. Suala la mume kukutwa na msichana wa yumba jirani hiyo ni "by the way". Safi sana John.
ReplyDeletehuyu john ni funga kazi kamfanyia unyambilisi wa hatari lol !! ndo yaleeee kesi ya nyani unampelekea ngedere ha ha haaa
ReplyDeletemanka wa canada
Very smart guy..John he is very smart.Hembu tuangalie,kamkuta mume wake kama vile na mume wake hataki kusuluhishwa.JIBU NI MOJA TU..ACHANA NA NDOA YAKO KWISHA.
ReplyDeleteNaifikiri John (mshahuri) alijua jibu niwazi divorce.May kisheria sio wazo la kumpa mtu kwenye vyombo vya habari bila legal checking.
Lakini mimi nimecheka sana..very good day..mimi kusoma hii column.
teteheee..tetehee..!
Manka wa Canada, naomba email yako. Nahitaji kuwasaliana na wewe.
ReplyDeleteMekyu wa US
kwa wasiojua fasihi hapa hawaoni jibu,jibu liko wazi,yaani hadi mzee anaanza kuiba inabidi mwanamama acheki engine na kasoro ndogondogo zinazopelekea gari kuzima(malove)!!hapa imetulia sana tu!!
ReplyDeleteThis is good. I think women should learn from this. Angepewa kazi hii mwanamke angemwambia mwanamke mwenzie aondoke nyumbani mwanaume hakupendi... lakini wanaume wanalindana. This is not new scene it has happend it will happen and it happens every hour, is how you 'a wife' can take/handle it. Pole sana Sheila, it hurts, but it will go. John thank you for your wonderful advise. Happy new year all.... Bite
ReplyDeleteHayo ni majibu ambayo wanawake wengi tuyategemee kwa watu wote ambao sio wataalamu wa kutoa ushauri katika ndoa, wawe wanaume au wanawake. Ningeshauri pia matatizo kama hayo yafikishwe kwa wataalamu na wenye ofisi ila sio kwenye magazeti.
ReplyDelete