Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nimeipenda hii! I think it makes a whole lot of sense!

    ReplyDelete
  2. Nadhani chance ya kujibu ilikuwa ndogo, so mshauri akatoa jibu kwa tatizo la kwanza pekee.

    ReplyDelete
  3. Nimecheka mbavu sina, this is hilarious!!!-Maggie- Canada.

    ReplyDelete
  4. Hii ni kali na John ni muelewa sana wa swali. Alivyojibu ndivyo haswa, kwa sababu shida ya huyo mama ni gari na ndiyo iliyompeleka nyumbani. Suala la mume kukutwa na msichana wa yumba jirani hiyo ni "by the way". Safi sana John.

    ReplyDelete
  5. huyu john ni funga kazi kamfanyia unyambilisi wa hatari lol !! ndo yaleeee kesi ya nyani unampelekea ngedere ha ha haaa
    manka wa canada

    ReplyDelete
  6. Very smart guy..John he is very smart.Hembu tuangalie,kamkuta mume wake kama vile na mume wake hataki kusuluhishwa.JIBU NI MOJA TU..ACHANA NA NDOA YAKO KWISHA.

    Naifikiri John (mshahuri) alijua jibu niwazi divorce.May kisheria sio wazo la kumpa mtu kwenye vyombo vya habari bila legal checking.

    Lakini mimi nimecheka sana..very good day..mimi kusoma hii column.

    teteheee..tetehee..!

    ReplyDelete
  7. Manka wa Canada, naomba email yako. Nahitaji kuwasaliana na wewe.
    Mekyu wa US

    ReplyDelete
  8. kwa wasiojua fasihi hapa hawaoni jibu,jibu liko wazi,yaani hadi mzee anaanza kuiba inabidi mwanamama acheki engine na kasoro ndogondogo zinazopelekea gari kuzima(malove)!!hapa imetulia sana tu!!

    ReplyDelete
  9. This is good. I think women should learn from this. Angepewa kazi hii mwanamke angemwambia mwanamke mwenzie aondoke nyumbani mwanaume hakupendi... lakini wanaume wanalindana. This is not new scene it has happend it will happen and it happens every hour, is how you 'a wife' can take/handle it. Pole sana Sheila, it hurts, but it will go. John thank you for your wonderful advise. Happy new year all.... Bite

    ReplyDelete
  10. Hayo ni majibu ambayo wanawake wengi tuyategemee kwa watu wote ambao sio wataalamu wa kutoa ushauri katika ndoa, wawe wanaume au wanawake. Ningeshauri pia matatizo kama hayo yafikishwe kwa wataalamu na wenye ofisi ila sio kwenye magazeti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...