Home
Unlabelled
mdau tuli ala nondozzz australia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli mla mla leo ....... hongera dada yangu kwa kumaliza chuo tena hongera sana maana akina dada zetu wapo tele bongo hapa hawana lolote kufanikiwa kwako huenda ikawa safari kwa wengine.
ReplyDeleteshe is pretty
ReplyDeleteHongera Tuli, Safari ni hatua.....
ReplyDeleteUmekuwa mkubwa sasa, enzi zile ukija na Mama pale Chaibora ukiwa kinda. Mola akujalie kila lililo jema,(Billy)
suali: degree ya biomedical science unategemea kazi gani tanzania? huku nje ni ngumu!
ReplyDeleteShe is cute.
ReplyDeleteHongera sana kaza buti.
hongera sana TULI jamani umekuwa hivyo ulivyokuwa ukija dukani pale kwa luisi upanga!! hee kama wewe umekuwa hivyo basi Tuga naye si atakuwa mzee sasa, namimi ndio kabisaaa maana unazaliwa nilikuja kwamama mwakalobo kukuangalia mchangaaa!!!
ReplyDeleteKuna mdau ameuliza degree ya Biomedical Science atafanya kazi gani Bongo jibu n i kwamba atafanya kazi ya maabara katika Hospitali
ReplyDeleteHongera kisura. Kumbe huyu ni mdogo wake Tuga, itabidi niwasiliane naye. Tuga tegemea simu kutoka kwangu.
ReplyDeletehongera sana
ReplyDeletekumjibu anony wa: Tarehe Sat Dec 19, 11:53:00 AM...
ReplyDeleteBiomedical Science ni degree yenye soko kubwa tu duniani kote. Hapo bongo mnahitaji ujuzi wa huyu binti, hasa hasa watu wa NIMR (National Institute of Medical Research), Muhimbili, Abbott Labs, World Health Organization etc Nimefurahi kuona tunapata watu wanaosoma field ambazo sio MD kwani TZ mtu ukisoma PCB basi lazima uwe daktari. Tunahitaji watu watakaohusika na kuvumbua tiba na kutatua matatizo ya afya ambao sio madaktari. Innovation and invention depends on ppl like this graduate. Hongera tena dadaa, sasa tunasubiri PhD katika Molecular Oncology au Virology
mdau
Hongera dada yangu safari ni hatua.
ReplyDeletemdau wa Ipinda Lusungo Kyela
hongera sana dada wa watu tuli kweli umejitahidi saaaaana hongera sana
ReplyDeleteHii nimeikubali, hongera sana na mandhari ya maafari ipo inaonekana.
ReplyDelete