
wanafunzi na wafanyakazi wa ubalozi. ngoma ilikuwa droo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongereni sana kwa kufanikisha shughuli hii naomba mwakani mh balozi kwenye mashindano haya tushirikishwe na miji mingine ya hapa india kama vile hyderabad hili litatusaidia kujua na kujenga ushirikiano mzuri baina ya wanafunzi na kuimarisha jumuiya zetu kwa kubadilisha mawazo
ReplyDeletepia naomba nniulize kwa wanatechnohama hivi hiyo kamera ilikuwa na makosa ya tarehe maana naona kama tukio lilifanyika 26/03/2009 na sio uhuru day yaani tarehe 9/12/2009 naomba kueleweshwa
Naona utakuwa umekosea, Michuzi. Mwezi wa 3 huwa ni uhuru wa Zimbabwe. Wa Tanganyika huwa ni mwezi wa 12!
ReplyDeleteHongereni sana kwa kuazimisha uhuru day ni utamaduni unaopaswa kuendelezwa,nimefurahishwa sana na ushirikiano unaoonekana hapo na pia wanajamii walivyowakilisha kwa pamba za kisport zenye heshima mbele ya balozi.kuhusu state nyingine kushirikishwa,,jamani hao wamefanya kwa niaba yetu tuwapongeze aidha gharama za kuwashirikishwa wt ubalozi wautaweza kuzibeba,
ReplyDeletemichuzi acha usanii mwezi wa 3 sio uhuru wa TZ umechomekea picha za zamani za sherehe nyingine sio uhuru
ReplyDeleteHapo wadau sio kosa la michuzi kuhusu tarehe. Ni kosa la mwenye kamera hakuseti tarehe ipasavyo. Otherwise nawapongeza sana ndugu zangu kwa kuadhimisha uhuru day kwa bonanza la michezo kati ya Wanaubalozi na Wanafunzi. Dada Fadhila uko juu, hongera sana Mhe. Balozi na wengine wote hapo.
ReplyDeletemweee tarhe ya uhuru iyo jamani???
ReplyDelete42 naona unauza sura wa ukweli wangu
ReplyDeleteAnnon wa Sun Dec 13, 04:57:00 PM,
ReplyDeleteuhuru wa Zimbabwe ni tarehe 18 mwezi April na sio mwezi wa 3
hongereni sana nadhani miji mingine muige mfano hawa wanaonyesha umoja wa nguvu ndio maana sura zao zimejaa furaha tele
ReplyDeletehongereni ubalozi pamoja na viongozi wa wanafunzi wa delhi
mimi kwnza nawapongeza ubalozi na waandaaji wa shughuli kama hii.uongozi wa wanafunzi pia na wanafunzi wote.badala ya kukosoa kosoa wacha tufirie ni jinsi gani wakati ujao tunaweza tukawa na bonanza la india nzima.kama TASA ya delhi iwasiliane na TASA za sehemu nyingine ili kuwezesha swala kama hilo.kwa ujumla hongereni TASA-DELHI na ubalozi na msisikilize watu wasio na akili kwani watawarudisha nyuma.One love
ReplyDelete