
Picha na stori na Mdau Isaya Philip
Hapa ni Rombo Mkuu kilometa tatu tu kutokea Rombo kuelekea Marangu ambapo mdau Isaya Philip alilazimika kuacha vekesheni na kushirikiana na wadau kuwatoa wajenga nchi
zege halilali hapa....
Anko naninihii jionee hapo wakati nyie mnahangaikia barabara za gorofa na kusota kwenye foleni huko kwenu wenzenu wanahangaikia huku mitaa ya Tarakea barabara ya changalawe tu ili waondokane na adha hii ya kufanya kazi ngumu ya kusukuma magari kabla ya kazi zao za msingi
kimbembe Tarakea




Haya sasa wakati umefika kwa wale wenzetu wachaga mnaojidai kuwa nyie ndio mmnauleta maendeleo tanzania mkumbuke na barabara zenu sasa sio kushindana ni mtoto wa nani an ghorofa ngapi
ReplyDeletePoleni sana walipakodi kwakazi ngumu mnazozipata ilatutafanya nini nawatu wanataka kuspend lots of money kujenga majumba yakifahali yenye maswimin pools,A/C,CCT camera nk nawengine tumewaamini tukawakabizi madalaka sasa wanatudidimiza kwakusign mikataba yaulaghai kwamanufaa yao nafamilia zao,itabidi tuwasubiri sana mpaka watakapotosheka labda watatuangalia na sisi walipakodi,ilatuspowashtua sidhani kama watashtuka siunajua tena mtu anayeishi kama yupo peponi!!!?
ReplyDeleteI love Rombomy home area. It looks ever green. I love it.
ReplyDeleteMrosso akiwa Rukwa
Vile vijisent vya 'kukarabati' nyumba ya nanihii si vingefanya kazi kubwa tu katika maeneo muhimu kama haya? Lakini nani anajali....
ReplyDeleteWadau naomba kuuliza...hivi bilioni 1.4 zilizoweka swimming pool kwa gavana zisingeweza kusaidia kurekebisha hiki kipande cha meta 200??? Watu wakasafiri kwa amani...
ReplyDeleteDu! Jana nimetoka Mashati ila nashkuru nilipofika mkuu zile Caterpillar za ujezi wa barabara zilikuwa eneo hilo kusawazisha mambo ila zege halilali wadau wako FITI kuhakikisha Rombo inaingilika na kutokeka....
ReplyDeletePAPAA STAN
MOSHI. KILIMANJARO
wabongo bwana hao hawashuki hahahha likiwaka moto hilo hahaha shukeni msaidie wenzenu
ReplyDeletehi barabara wakati mramba ni waziri wa miundombinu alitaka kuleta ubinafsi wake akaidhinisha pesa zote vijenge barabara hii,wabunge wakashtuka,sasa mdau unacholia nini hapo,barabara zote za moshi kuonganishwa na mikoa mingine na wilaya ziko tambarare,hizo ni za kuingia vijijini kabisa,wakati kuna mikoa kama manyara hawana hata barabara za kuuonganisha mkoa wao na mikoa mingine,wachaga bwana,
ReplyDeleteHuu ndio umuhimu wakupiga kura. Umempa mbunge miaka mitano hajafanya kazi ondoa chagua mpiga kazi regardless ya chama chake. Kuweka changarawe barabarani sio pesa nyingi. Watu wanaangalia tu barabara za mijini wanasahau vijijini/mikoani. Kama hamna vitu muhimu kama barabara tunategemea vijana waendelee kukaa maeneo kama haya. Ndio maana wanakimbilia mijini. Nasisitiza hili linalojionyesha hapa ni ufinyu wa mawazo, viongozi kukosa mwelekeo na uhamasishaji.(motivation). Wananchi wanaweza kufanya kitu chamaana sana kama wakihamasishwa. Hela za walipa kodi zinakwenda wapi jamani??? Tunahitaji leadership, pesa za walipa kodi zitumike vizuri, nguvu kazi yakujitolea ipo kama inavyoonekana kwenye picha.Shame on us!
ReplyDeleteTues 29 Dec, 05:47:00 PM
ReplyDeleteHiyo ni barabara inayounganisha nchi na sio ya kijiji! Ni internations Highway!
nyinyi hapo juu msianze upuuzi wenu sio kila kijiji kina lami na sio kama watu hawawezi tukijipinda weweeee lami hadi mlangoni kwa taarifa yenu serikali ya tz haikubali mtu binafsi kujiwekea lami yule mzungu wa slip way angeshaweka kile kipande cha barabara yake lami zamaniiii lakini kapigwa stop so msilete vimbelembele front humu ndani katizeni machame kwetu kwa wapalestina utalia full lamiiiiiiiiiii hadi canada nilipo
ReplyDeletemanka wa canada
kila siku tunasikia katika vyombo vya habari kuwa utengenezaji wa barabara ni mojawapo ya mafanikio makubwa ya serikali ya ccm (awamu ya 3 na 4) - ningeshauri tuwe wa kweli tuwe tunasema mafanikio ya serikali hizi ni matengenezo ya barabara za dar na sio barabara za tanzania!
ReplyDeleteukishangaa wanakushangaa kwa nini unashangaa!
hizo picha ni za zamani siku hizi bongo barabara ni safi kushinda hata huko marekani na ulaya
ReplyDeletejamani kaka michuzi acha kutoa hizi picha za ajabu kwenye blog wabeba box wataogopa kurudi tanzania wakati huku maisha ni safi kuliko huko ughaibuni
ReplyDeletelssa michuzi mwenyewe ndio mgomvi ana penda watu wa gombane umu ndani,
ReplyDeleteyeye mwenyewe kimya!uafikiri katiwa barafu kwenye nye.. zake
ukabila na majungu umundani atutatki kawachonga nishe wakenya na c wa bongo
manka wa canada,serikali haikatazi watu kujiwekea lami,kuna watu wamejiwekea lami kutoka main road hadi kwenye nyumba zao,hivyo kama famlia yenu ina uwezo wa kujenga lami kijijini kwenu jengeni tu,ombeni kibali serikalini mtapewa,huo ni kama msaada wowote kwa jamii,ila lami lazima ifikie kiwango fulani,kwahio unaweza kukataliwa kama hutaonyesha funds na kiwango kinachotakiwa,wasalimie huko canada
ReplyDeletepoa mdau hapo juu ntawapa hi ila nachojua yule mzungu alinyimwa aliambiwa serikali ina uwezo wa kuweka lami ati hawataki watu wajiwekee ni kuidhalilisha sirikali
ReplyDeletemanka wa canada
manka ningekutajia watu waliojiwekea lami kuondoa vumbi lakini si vizuri kutaja majina ya watu sehemu kama hizi,ila wapo na inaruhusiwa,changishaneni wachagga muweke lami kama mna uwezo, sio lazima serikali ifanye kila kitu
ReplyDelete