Home
Unlabelled
burian na mollel wawasili copenhagen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Viongozi wengi namna hii wanaenda kufanya nini kwenye huu mkutano?
ReplyDeleteHivi kuna haja ya kupeleka ujumbe wa watu wengi kwenye mkutano huu?
Tumieni pesa za walipa kodi vizuri ninye viongozi wa serikali ya Tanzania.
Per diem zinacost sana walipa kodi Tanzania.
ReplyDeletejamani watz kwa kusindikizana hamjambo, yaani ni ujinga mtupu!
ReplyDeleteJAMANI SENGINE WAPO WACHACHE LAKINI PICHA INAONEKANA WAPO WENGI...CHAMSINGI WAZINGATIA LEONGO WALILOPELEKEWA PALE SIO KURUDI MIKONO NA KCHWA KITUPU...SIJUI HATA KAMA WANACHANGIA HOJA WAKIWEPO KWENYE MIKOTANO YA KIMATAIFA.
ReplyDeleteNawaunga mkono anonymous wote hapo juu......hii nchi kwa kweli tunasikitisha sana, YAAANI NI UJINGA MTUPU HASAA, LAKINI HAWA WATAKUJA KUTUFAHAMU VIZURI muda si mrefu....wanatuchezea sana hawa !!!
ReplyDeleteWAWAKILISHI WA TANZANIA WAMECHANGIA
ReplyDeleteMsafara wa wawakilishi wa Tanzania si mkubwa kupita misafara wa nchi zingene kwa wale ambao mpo mbali na hapa Denmark.
Nikiwa mtanzania ninayeishi hapa,ningependa kuwafahamisha wawakilishi wetu kuwepo hapa haswa wakati huu wa mkutano mkuu wa COP15
ni muhimu saana kwa mtazamo wa mbali kwa Tanzania na bara zima la Africa.
Wawakilishi wetu wamepiga hatua kubwa saana kwa sauti ya umoja kulipigania Tanzania na bara zima la Afrika,kwa mtazamo wa karibu kunaweza kuwepo na maswali mengi yasiyo na majibu,lakini kwa mtazamo wa mbali Tanzania na bara zima la Africa tutafanikiwa mengi.
Safari hii kwa mara ya kwanza wawakilishi wetu Tanzania hawakuja kwa kukubali mipangilio isiyo na uhakika wa kudumu kwa Tanzania na bara zima la Africa,wamesimama imara na kushilikiana kwa sauti moja.
Mickey Jones-Denmark
Afrika tulikubaliana cha kusema na kufanya.
ReplyDeleteUmoja wa Madola ulikubaliana cha kusema na kufanya mjini Port of Spain, (T&T).
Kuna maana gani ya kupeleka ujumbe mkubwa huko Kopenihageni?
wee Mickey Jones ukumbuke sio wewe tu mtz anaeishi hapa DK tupo wengi watz hapa tunaoishi DK,EBU WAFAFANULIE VIZURI WADAU NI KIPI ULICHOTAKA KUWAELEWESHA INAWEZEKANA UKAWA NA JAMBO LA MAANA ILA MAELEZO YAKO YAKO DUNI SANA.MDAU NORREPORT STATION COPENHAGEN DK.
ReplyDelete