MBIU YA MGAMBO IKILIA UJUE KUNA JAMBO. DJ LUKE KUTOKA DC TAYARI AMEISHA TUA HOUSTON LEO JUMAMOSI DEC 26, TAYARI TAYARI KUFUNGA MWAKA KWA BURUDANI SAFI YA OLDSKUL ZA KUKATA NA SHOKA.
FIKA UKUMBUKE ENZI ZAKO ZA MBOWE,RSVP,VISION,MOTEL AGIP, TWIGA,VALENTINO,RUNGWE OCEANIC,STUDIO 35,JET SET,
TOTO DISCO YMCA,CLOUDS POOL SIDE,TAZARA,PINK COCONUT,SPACE 1900,KWETU BAR,MOON DUST,GOGO DISCO AFRICANA NA MAKABALEE YALIOTAMBA MIKOANI KAMA NK DODOMA,CAVE DISCO ARUSHA,MAGNUM MWANZA,RUAHA INTERNATIONAL NA RAILWAY CLUB IRINGA, NA MOROGORO HOTEL SHIMONI,BS NKOOGWE,MKONGE TANGA,YOTE NDANI YA D
CLUB SAFARI,
7601 DEMOSS DR,
HOUSTON,TX,77063
KUANZIA 5 USIK(11:00PM) MPAKA 12 ASUBUHI(6:00AM)
KARIBU UPATE ILE KITU ROHO INAPENDA KAMA HII NGOMA...

Mzee niweke kapuni.
ReplyDeleteDj LUKE alishawahi kupiga MAMBO CLUB?
wahouston kwa sherehe hamjambo duuu.
ReplyDeletemuuliza swali kama Dj Luke alisha wahi kupiga Mambo Club jibu ni ndio ndio huyo ulie muona mambo club ambayo kwa sasa inaitwa Maisha Club
ReplyDeleteumesahau Barbara Roy-got see you tonight,sneaky preview-Elianor Goodman
ReplyDelete