Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu Vielelezo Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Amina Maulid, msaada wa
madawati 120 yenye thamani ya sh. milioni 9.6 kwa ajili ya Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni.
Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika shuleni hapo leo. Kulia ni mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Salum Mtolela.
Wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam, wakifurahia kupokea msaada wa madawati 120 yenye thamani ya sh. milioni 9.6 uliotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika hafla iliyofanyika shuleni hapo juzi. Katikati ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Maneno Mbegu.

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu (kushoto) na Ofisa Elimu Vielelezo Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Amina Maulid, wakiangalia sehemu ya msaada wa madawati 120 yenye thamani ya sh. milioni 9.6 yaliyotolewa na TBL kwa Shule ya
Msingi Pugu Kajiungeni leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...