Zantel Head of Sales Mr. John Mbaga (right) talking to journalists at a press conference held at the firm’s headquarters today during the launch of “MZUKA” offer that allows Zantel customers to talk for 12 hours at a cost of Tsh 200 from 2230hrs to 1030hours. Left is Zantel’s Marketing Director Mr. Fintan Lawler.

Mkuu wa Mauzo wa Zantel Bw. John Mbaga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya ya kampuni hiyo leo wakati wa uzinduzi wa ofa mpya ya “MZUKA” ambayo itamuwezesha mteja wa Zantel kuongea kwa masaa 12 kwa Tsh 200 tu kuanzia saa nne na nusu usiku hadi saa nne na nusu asubuhi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo Bw. Fintan Lawler.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona offer ni ya usiku tuu, nahisi walengwa ni wizi na vibaka? naona watafaidi sana kupigiana simu wakipata deal usiku... offer hii kenge!

    ReplyDelete
  2. Watanzania mnangojea nn tena? hpa ndo tunapoutumia umaskini wetu, ama kweli Zantel kiboko wengine wanajikongoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...