Mkuu wa Mauzo wa Zantel Bw. John Mbaga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya ya kampuni hiyo leo wakati wa uzinduzi wa ofa mpya ya “MZUKA” ambayo itamuwezesha mteja wa Zantel kuongea kwa masaa 12 kwa Tsh 200 tu kuanzia saa nne na nusu usiku hadi saa nne na nusu asubuhi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo Bw. Fintan Lawler.

Naona offer ni ya usiku tuu, nahisi walengwa ni wizi na vibaka? naona watafaidi sana kupigiana simu wakipata deal usiku... offer hii kenge!
ReplyDeleteWatanzania mnangojea nn tena? hpa ndo tunapoutumia umaskini wetu, ama kweli Zantel kiboko wengine wanajikongoja.
ReplyDelete