Kaka michuzi naomba uwaonyeshe wadau team work kabambe ili waweze kuiga kwenye maeneo yao ya kazi kuongeza ufanisi.
Mdau KK,
Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. duh! kaka michuzi hii timu work kiboko,nadhan maximo anaitaji team work kama hii kutoka kwa wadau wote.
    tehe tehe tehe.
    mdau CM

    ReplyDelete
  2. Hii imepitiliza...

    ReplyDelete
  3. Team work hii ni kiboko mhh nimecheka sana hahahahahahahaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  4. Aminia! huo ndio umoja!

    ReplyDelete
  5. THIS IS MADNESS! COMMEDY ZINGINE ZINAPITA UHALISIA!

    ReplyDelete
  6. Hii ni tabia ya kawaida ya walevi wa pombe na wavuta sigara na unga! Zamani hapo kariakoo DDC au magomeni DCC mchezo huu ulikuwa wa kawaida, hata siku hizi hapo Mango Garden! Hivyo si wazungu tu haya yapo kwa sana Dar Es salaam. Ten wakimaliza kukojoa au kunya kawaida hawanawi mikono!

    ReplyDelete
  7. alaa kumbeee! ndo mnavyoshikiana hivyoo?! Akhsante kwa kutuelimisha!
    bora miye niliyekuwa sina cha kushikiwa!

    ReplyDelete
  8. team work gani bana wee acha kutufanya watoto wadogo!hapo sana sana wanasaidiana mastubasheni tu halafu unaleta za team work? we joto joto la mkono wa mwenzio unalizungumziaje?

    ReplyDelete
  9. CLEAN BATHROOMS, UNAWEZA HATA KUNYWA SODA AU BIA CHOONI. USWAHILINI KUNA CHOO YA NAMNA HIYO???

    ReplyDelete
  10. ha ha haaaa uuuwiii hii ni kubwa kuliko >

    ReplyDelete
  11. Mivivu tu ya kufikiri, kuna urgency gani kwenye zoezi la kuvuta sigara mpaka washindwe kusubiri hadi wamalize kujisaidia waishie kushikiana?

    ReplyDelete
  12. kumbe ndo tabia yenu eee??ndo maana ushoga umeshamiri hakuna marijari thz dayzz

    na hapo hawanawi wala nini

    lol

    ReplyDelete
  13. NIMECHEKA SANA, THIS IS LONDON ACCENT.

    ReplyDelete
  14. hahahhahah hata mm naona kweli kidole kimoja hakivunji chawa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...