Kaka michuzi naomba uwaonyeshe wadau team work kabambe ili waweze kuiga kwenye maeneo yao ya kazi kuongeza ufanisi.
Mdau KK,
Mdau KK,
Moshi.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh! kaka michuzi hii timu work kiboko,nadhan maximo anaitaji team work kama hii kutoka kwa wadau wote.
ReplyDeletetehe tehe tehe.
mdau CM
Hii imepitiliza...
ReplyDeleteTeam work hii ni kiboko mhh nimecheka sana hahahahahahahaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteAminia! huo ndio umoja!
ReplyDeleteTHIS IS MADNESS! COMMEDY ZINGINE ZINAPITA UHALISIA!
ReplyDeleteHii ni tabia ya kawaida ya walevi wa pombe na wavuta sigara na unga! Zamani hapo kariakoo DDC au magomeni DCC mchezo huu ulikuwa wa kawaida, hata siku hizi hapo Mango Garden! Hivyo si wazungu tu haya yapo kwa sana Dar Es salaam. Ten wakimaliza kukojoa au kunya kawaida hawanawi mikono!
ReplyDeletealaa kumbeee! ndo mnavyoshikiana hivyoo?! Akhsante kwa kutuelimisha!
ReplyDeletebora miye niliyekuwa sina cha kushikiwa!
team work gani bana wee acha kutufanya watoto wadogo!hapo sana sana wanasaidiana mastubasheni tu halafu unaleta za team work? we joto joto la mkono wa mwenzio unalizungumziaje?
ReplyDeleteCLEAN BATHROOMS, UNAWEZA HATA KUNYWA SODA AU BIA CHOONI. USWAHILINI KUNA CHOO YA NAMNA HIYO???
ReplyDeleteha ha haaaa uuuwiii hii ni kubwa kuliko >
ReplyDeleteHaya
ReplyDeleteMivivu tu ya kufikiri, kuna urgency gani kwenye zoezi la kuvuta sigara mpaka washindwe kusubiri hadi wamalize kujisaidia waishie kushikiana?
ReplyDeletekumbe ndo tabia yenu eee??ndo maana ushoga umeshamiri hakuna marijari thz dayzz
ReplyDeletena hapo hawanawi wala nini
lol
NIMECHEKA SANA, THIS IS LONDON ACCENT.
ReplyDeletehahahhahah hata mm naona kweli kidole kimoja hakivunji chawa?
ReplyDelete