Mdau Knashipai Kiria Lupoo baada ya kula nondozzz ya Health of Oganization and Community Halth katika Chuo kikuu cha Concordia University huko Moorhead, Minnesota. Familia yake inampongeza na kumtakia mipango mema ya kuendelea na PH mwaka ujao katika chuo kimoja kilichopo huko Seatlle. Aksante brother na nakutakia kheri ya mwaka mpya songa mzee tupo pamoja ingawa tupo dunia ya kwanza huku but are always proud with our country. Mungu ibariki tanzania. Picha na habari kwa hisani ya mdau Ebra wa New York City.
Juu na chini ni Knashipai akiwa na marafiki waliokuja kumpongeza




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hongera mdadaa uzi huo huo kula nondo maisha baadaye ndo kitaeleweka hongera sana

    ReplyDelete
  2. jina la kihindi au la kiswahili, kazi kweli kulitamka, hongera kwa kufanikiwa katika masomo.

    ReplyDelete
  3. community halth na kuendelea na PH....mmmhh hii habari imeandikwa na somebody .....not richabo..!!

    ReplyDelete
  4. Jamani kwanza kabisa mdada hongera kwa kufanikiwa, nakuombea Mungu uendeleze libeneke. Sasa wewe uliye tuma haka ka ujumbe umeshindwa ata kucheki spellings zako jamani. Umeharibu jina, labda mimi ndo sijui ila it is Nashipai Lepoo, wewe sijui umeandika kitu gani. Seattle yenyewe ulivyo andika mh. Sijui Health of Organization and Community health, Haya bwana. Hongera mwanadada na ukianza shule yako nyingine soma kwa bidiii.

    ReplyDelete
  5. Brother michuzi yaani hata kuedit hii post umeshindwa typo kibao jamani hapo ameandika community halth na kuendelea na Ph??? alimeant community health and PHD..haya hongera dada hivyo hivyo!!

    ReplyDelete
  6. duh it's all I can say!!

    ReplyDelete
  7. dada m nko UK nimeshakula nondozz unaonaje tukitengeneza familia pamoja unaonekana mtulivu kwa sura.Imani yangu iko kwel kwako cjui kwann?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...