Juu na chini ni gari aina ya fuso iliyokua inatokea Arusha kuelekea moshi ikiwa imeangushwa na mafuriko yaliyokuwa yamekatiza barabarani kutokana na mvua kubwa zilizokuwa zinanyesha mkoani Kilimanjaro fuso hiyo ilianguka katika mbele kidogo ya kijiji cha kwa Sadala wilayani Hai mkoani kilimanjaro. Mafuriko hayo yalizuia magari kupita kwa muda wa lisaa na nusu.(picha na Woinde Shizza)
Fuso likiwa limelala ubavu 


Ankal MeChoodhe,
ReplyDeleteumesema mdau aliyeleta hizi picha jina lake.... teh teh teh, natumai "Alienda Fika salama" kabisa.
Woinde Shizza na Uende Shika na Ende Shika na Nde Shika naona yanashabihiana.