Home
Unlabelled
makatibu wakuu wapigwa darasa la tovuti ya wananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumbe ni kamradi kamtu
ReplyDeletemzee michuzi hawa watu wanapoteza hela zetu bure tu,inasikitisha sana nimewaandikia wizara ya miundo mbinu tangu mwezi wa nane mwaka huu mpaka leo sijajibiwa,naona hawana cha kufanya ushaidi upo kwenye website yao kama hawataufuta naweza ni kucopy na kupaste,kwa kweli inasikitisha mno hata email address zao hazifanyika kweli
ReplyDeletetovuti gani hizo za wananchi? naomba nielimishwe jamani mdau mwenzenu
ReplyDeleteKweli nakubariana na wachangiaji waliotangulia huu ni ufujaji wa fedha nikihesanbu hizi semina chini ya jina kupigana misasa kuhusu tovuti ktk kipindi cha miezi 4 ni ya 3 kwanza Morogoro,Arusha na sasa Dar.Wakati ukiziangalia hizo tovuti za serikali na mashirika mengi , serikali hata ya Ikulu balozi,mikoa karibu zote ni tovuti ambazo hazifanyiwi uptodate hivi kuna anefahamu tovuti ya maelezo au ya TBC iliyjitokeza kwa siku moja na kutoweka vyombo vinavyopashwa kua mfano.Vinginevyo hizo semina zinasomeka kama JIA YA UFUJAJI WA PESA ZA WALALAHOI Anko MICHUZI WASAHIDIE MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteViongozi wengi wa Serikali wana phobia ya kompyuta, hawapo ofisini kutwa wako safari. Lema hii tovuti iwe iinteractive kama jamii forums tuone nani hajibu na aliyejibu kajibu nini!
ReplyDeleteOr else shutdown the website. Haina kazi!!! Tumepeleka maoni mwaka sasa hamna hata jibu tumetoa hata namba zzetu za simu.
Huu ni uzembe!
ive wanalielewa somo lakini?
ReplyDeletePer diem tu hapa, si unaona walivyonona!
ReplyDeleteJamani hao makatibu wakuu kwanza watapata mda wapi wa kujibu hoja za watu tena toka kwenye internet??
ReplyDeleteMi ningeshauri, kwasababu kila wizara ina kitengo cha habari, Information officer wangehusika zaidi na hao ndio wangepata majibu toka kwa katibu mkuu, iwe moja ya majikumu yao!! makatibu wakuu kutwa vikao, safari pia si wazuri sana katika matumizi ya computer, email zenyewe kama wanazo hawazitumii.....MI NILISHATUMA MASWALI YANGU KUPITIA TOVITI HIYO TOKA MWEZI WA SABA HADI LEO SIJAJIBIWA!!!! Naungana na mchangiaje hapo juu kuwa tovuti iwe interactive!
Maswali yangu yanapigwa dana dana mara Ikulu mara Utumishi mara fedha na sasa imechukua mwaka mmoja hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekwanza hamuoni wanavotisha kama masimba vile...watajibu saa ngapi mambo ya akili ya wanainchi???
ReplyDeleteyani mnanikera nyie viongozi hamjui tu
izi kodi zetu zinatoa machozi siku