barabara hii mpya inayotengenezwa inakatisha jangwani kuanzia klabu ya nanihii...
sehemu kubwa ya jangwani inakaribia kumalizika
matengenezo ya barabara hii maeneo ya landa bar, kigogo, leo
kigogo msikitini tayari ni tambarare
inagwa haijaisha lakini magari mengi yanatumia barabara ikatizayo jangwani kuepuka foleni na pia kurahisisha safari. itapokamilika barabara hii ambayo inatokea ubungo maziwa itasaidia sana





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. wasije wakaziharibu namatuta

    ReplyDelete
  2. natumai itakuwa ni njia nne kwenda nne kurudi la sivyo swala la foleni bado ni ndoto

    ReplyDelete
  3. Hongera sana TANROADS for a good job. Nafahamu kuwa mradi wa kuboresha miundombinu ya mkoa wa DSM ulianza about two years ago wakati Kandoro akiwa Mkuu wa Mkoa. Nafurahi kuona kumbe hata alipohamishwa mradi umekuwa endelevu. Yet some people wanadai kuwa Tanzania kuna ombwe la uongozi. Ombwe la uongozi? Kazi inafanyika bwana.

    ReplyDelete
  4. kigogo msikitini tayari ni tambarare? mbona ni dongo tupu? hapo si vumbi tu?

    ReplyDelete
  5. Kuna cha kujipongeza kama imechukua miaka miwili kufikia kinachoonekana kwenye picha, tena makao makuu ya serikali?

    ReplyDelete
  6. nimefurahi kuona watu wametengenezewa njia ya kwenda msikitini haya waisilamu nendeni kwenye kheri.

    ReplyDelete
  7. Duuh! Nimeona hizi picha za bongo nimeshtuka.......kumbe bongo bado ni pabaya hivyo!!?? Pamepaukaaa!!
    Hivi kuna serikali hapo??? Mie sirudi ng'o.....

    ReplyDelete
  8. hivi jangwani si ni flood zone hiyo kipindi cha mvua mafuriko yanajaa sana hapo,itakuwaje na hiyo bara au patawekwa mifereji mkubwa? maana lasivyo hiyo barabara itakuwa nashimo matupu,hata kama ikatiwa lami ni kazi bure.
    hope mliconsider hilo kabla hamjafanya maamuzi.

    mdau scandinavia

    ReplyDelete
  9. UCHAGUZI LINI VILE?

    ReplyDelete
  10. Bara bara zenyewe wanazozipanua na kujenga ni zile zile za zamani. Wasingetengeneza ile barabara ya zamani ya Kigogo. Barabara mpya inayotoka jangwani ilibidi ipite nyuma ya pale round about, waeke daraja kubwa, barabara iwe inatoka kule yanga kupitia kigogo, mbrahati, mabibo mpaka manzese, ili wa2 wasisumbuke na wafanye jitihada za shoti kati, kati ya kigogo na buguruni, sio wa2 2ende mpaka karume ndio twende buguruni, kama hawajafanya hivi itakuwa ni kazi bure. 2zibueni barabara mpya sio kujenga za zamani kwanza.

    ReplyDelete
  11. When is the election again?

    ReplyDelete
  12. Miezi 10 ijayo uchaguzi. So? Kwani hamtaki serikali ya CCM itimize ahadi zake katika ilani ya uchaguzi wakati mandate ya kutawala inaisha ndani ya miezi 10? Nyie vipi? Mko wepesi sana wa kusagasaga. Ndiyo maana mmeikimbia nchi kwa nini hamkubaki hapa ili mtusaidie kuyarekebisha hayo mapungufu kama mnaweza?

    ReplyDelete
  13. we mtanzaninia usiwe mvivu wa kufikiri.unataka watu wabaki hapo wasaidie vipi wakati tangu tunazaliwa viongozi wa serikali karibu wote ni walewale.hata tungebaki tungeendelea kushuhudia viongozi hao wezi wakitulaghai tu..na hiyo barabara iishe maanaake tushazoea nguvu ya soda halafu baada ya uchaguzi hawamalizii lami linabaki vumbi tu na wakati wa mvua ni tope tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...