Home
Unlabelled
matengenezo barabara ya jangani/kigogo yendelea kwa kasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wasije wakaziharibu namatuta
ReplyDeletenatumai itakuwa ni njia nne kwenda nne kurudi la sivyo swala la foleni bado ni ndoto
ReplyDeleteHongera sana TANROADS for a good job. Nafahamu kuwa mradi wa kuboresha miundombinu ya mkoa wa DSM ulianza about two years ago wakati Kandoro akiwa Mkuu wa Mkoa. Nafurahi kuona kumbe hata alipohamishwa mradi umekuwa endelevu. Yet some people wanadai kuwa Tanzania kuna ombwe la uongozi. Ombwe la uongozi? Kazi inafanyika bwana.
ReplyDeletekigogo msikitini tayari ni tambarare? mbona ni dongo tupu? hapo si vumbi tu?
ReplyDeleteKuna cha kujipongeza kama imechukua miaka miwili kufikia kinachoonekana kwenye picha, tena makao makuu ya serikali?
ReplyDeletenimefurahi kuona watu wametengenezewa njia ya kwenda msikitini haya waisilamu nendeni kwenye kheri.
ReplyDeleteDuuh! Nimeona hizi picha za bongo nimeshtuka.......kumbe bongo bado ni pabaya hivyo!!?? Pamepaukaaa!!
ReplyDeleteHivi kuna serikali hapo??? Mie sirudi ng'o.....
hivi jangwani si ni flood zone hiyo kipindi cha mvua mafuriko yanajaa sana hapo,itakuwaje na hiyo bara au patawekwa mifereji mkubwa? maana lasivyo hiyo barabara itakuwa nashimo matupu,hata kama ikatiwa lami ni kazi bure.
ReplyDeletehope mliconsider hilo kabla hamjafanya maamuzi.
mdau scandinavia
UCHAGUZI LINI VILE?
ReplyDeleteBara bara zenyewe wanazozipanua na kujenga ni zile zile za zamani. Wasingetengeneza ile barabara ya zamani ya Kigogo. Barabara mpya inayotoka jangwani ilibidi ipite nyuma ya pale round about, waeke daraja kubwa, barabara iwe inatoka kule yanga kupitia kigogo, mbrahati, mabibo mpaka manzese, ili wa2 wasisumbuke na wafanye jitihada za shoti kati, kati ya kigogo na buguruni, sio wa2 2ende mpaka karume ndio twende buguruni, kama hawajafanya hivi itakuwa ni kazi bure. 2zibueni barabara mpya sio kujenga za zamani kwanza.
ReplyDeleteWhen is the election again?
ReplyDeleteMiezi 10 ijayo uchaguzi. So? Kwani hamtaki serikali ya CCM itimize ahadi zake katika ilani ya uchaguzi wakati mandate ya kutawala inaisha ndani ya miezi 10? Nyie vipi? Mko wepesi sana wa kusagasaga. Ndiyo maana mmeikimbia nchi kwa nini hamkubaki hapa ili mtusaidie kuyarekebisha hayo mapungufu kama mnaweza?
ReplyDeletewe mtanzaninia usiwe mvivu wa kufikiri.unataka watu wabaki hapo wasaidie vipi wakati tangu tunazaliwa viongozi wa serikali karibu wote ni walewale.hata tungebaki tungeendelea kushuhudia viongozi hao wezi wakitulaghai tu..na hiyo barabara iishe maanaake tushazoea nguvu ya soda halafu baada ya uchaguzi hawamalizii lami linabaki vumbi tu na wakati wa mvua ni tope tu
ReplyDelete