Home
Unlabelled
mpiganaji emmanuel herman wa mwananchi afiwa na mkewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sala zetu ziko nawe, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kugumu.
ReplyDeletePole sana Ndugu Mpiganaji, may your wife Rest in Peace.
ReplyDeleteMungu nisamehe, ila kwa upande mwengine hiyo ni 'Vacancy' kwa kina mama.
KUFIWA NA MKE MWEE, YOU CAN NOT IMAGINE IT, IT IS BEYOND COMPREHENSIVE. POLE SANA.
ReplyDeletePole sana kaka herman pamoja na watoto mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu...kuondokewa na umpendae ni kugumu ila ni kazi ya mungu...mke bado mbichii 1980 ana miaka 29 kama sikosei mungu amlaze mahala pema peponi amin.....Jikaze kaka piga moyo konde utafute mke mwengine mwenye huruma na busara ataeweza kuwapa malezi bora watoto kama alivyokuwa akifanya marehemu mama yao.
ReplyDeletepole kaka,some of us are so emotional couldnt stop crying.wewe kati ya wanaume wachache nimeona wameshikwa kwa msiba.pole sana Mungu awatie nguvu wafiwa.amen
ReplyDeletePOLE SANA. MUNGU AWEPE NGUVU.
ReplyDeleteKUMBUKA YOTE NI MAPENZI YA MUNGU.
UNACHOWEZA KUFANYA TU KWA SASA NI KUWAANGALIA SANA WATOTO ULIOACHIWA NA MKE WAKO. KWANI WATOTO HAO NDIYO ALAMA YA MKE WAKO.
AMINA
POLE SANA HERMAN. MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU. MAY HER SOUL REST IN PEACE.
ReplyDeleteOh Dear, polo sana Emma, pole bro, nakukumbuka sana tulikuwa wote hapo kipindi fulani, nimesikitika kwa kweli but M/Mungu anajua zaidi. Combo!!!
ReplyDeletepole sana kwa msiba mzito anyeweza kukusaidia ni Mungu pekee, ninachoweza kusema Mungu akujalie hekima na nguvu ya kuendelea na maisha na uwezo wa kulea wanao katika mapenzi ya dhati ili kupunguza upweke wa kutokuwa na mama yao maana bado ni wadogo sana. napingana na hao wanaosema uanze kutafuta mwanamke mwingine kwa sasa hilo liweke pembeni kaka yangu angalia nyumba yako. Mungu awalinde na kuwajalia kila lililojema. poleni sana ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii.
ReplyDeleteIli ni fundisho kwa ambao mna bahati wake zenu wako hai mpaka sasa. Sisemi kwamba herman kamkosea mkewe, sababu siwajui.
ReplyDeletePole sana bro. Mungu akupe faraja na kukuwezesha kuangalia watoto wako.
ReplyDeleteMY CONDOLENCES TO THE FAMILY BUT, MOST OF ALL I FEEL SORRY FOR THOSE KIDS GROWING UP WITHOUT THEIR MOM! NO ONE CAN REPLACE THEIR MOTHER. HOPE THE DAD DOES A GOOD JOB IN RAISING THEM THEY NEED HIM MORE THAN EVER AT THIS DIFFICULT TIME. IT'S ALSO A SHAME HOW WE DIE SO YOUNG NOW A DAYS MAYBE IF SHE HAD A PROPER MEDICAL CARE SHE WOULD STILL BE ALIVE TODAY. POLENI WOTE SISTER FROM TORONTO ONTARIO.
ReplyDeleteMungu awafariji na kuwapa nguvu mume na watoto. Uchungu wa kufiwa na mama katika umri wowote ni mgumu sana ukilinganisha hawa watoto katika umri mdogo walionao ni wazi kuwa wanahitaji mapenzi na matunzo ya mama zaidi lakini Mungu mwenye kuweza yote atawaongoza na kuwapa neema popote waendapo na kumpa neema na faraja mume mtu.
ReplyDeletepoleni sana wafiwa Mungu awape nguvu na faraja kweli hawa watoto ni wadogo sana Mungu akujalie hapo baadaye umpate mke mwingine mwema. amen
ReplyDelete