Home
Unlabelled
mpiganaji rachel lugoe ala nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
..I was wondering where you were....Kumbe ulipotelea Uholanzi....Hongera sana Rachel kwa kuhitimisha masomo salama! Nakutakia kila la heri katika pilika za maisha baada ya masomo yako.
ReplyDeleteFaustine
drfaustine.blogspot.com
umemaliza skuli rudi hm utuletee ujuzi,achana na mabox kama watu wa Uk wanamaliza skuli bado wanamg'aninia mabox ukiwauliza wanakwambia wanarekebisha kwanza ndio warud. teh! teh!
ReplyDeleteKumbe hata waholanzi wanavaa majoho wanapopata nondo?
ReplyDeleteDada Rachael ongera sana,
ReplyDeletenimefurahi sana kuona kwamba umefanikisha masomo yako, nakutakia kila la kheri na Mungu akutangulie katika maisha yako.
kwa nini watu wakiona mssosi uwa wanacheka sana?
ReplyDeletehongera sanaaaaaana kwa kula nondo elimu haina mwisho
ReplyDeleteKumradhi nielekezeni sijui.
ReplyDeleteHivi vyuo vingine uko ulaya cheti huwa wanakabidhiwa ofisini/chumbani na mwalimu wako maana hapa sioni kama kuna dalili za mkusanyiko wa sherehe kama inavyokuwaga hapa. Sina maana kwa picha hii tu nilishaonaga na nyingine nyingi, leo sasa imebidi niulize.
Nasema tena kumradhi
Hongera mno jirani....bora watakuheshimu sasa na kukutunzia ardhi yako,welcome home again.....
ReplyDeleteHongera Dada Rachel kwa kupata Masters! Najumuika na family yangu kukupongeza na kukutakia afya njema. Najua unazoa picha nyingi na slides hivyo naomba ukifika Bongo nijulishe nikutembelee ili nizifurahie. Au hurudi??!!!!!. Picha zako ni nzuri mno dada!
ReplyDeleteHey Rachel, HONGERA! Habari njema!
ReplyDelete- Chemi