Mr. Michuzi,
Mimi ni mtanzania anayeishi marekani na ningependa kujua kwamba suruali za kike zenye kiuno 27 European size itakuwa size gani kwa nguo za kimarekani in terms of 0,1,2,3,4,5? Nitashukuru sana kupata huu msaada.
Ni vizawadi kwa ndugu Tanzania
asanteni sana

mdau
USA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. http://www.usatourist.com/english/tips/Womens-Sizes.html

    http://www.i18nguy.com/clothing.html

    ReplyDelete
  2. 27 (inches) waist is equivalent to size 8 (USA standard).
    http://www.usatourist.com/english/tips/Womens-Sizes.html

    ReplyDelete
  3. Mzee internet unayo na uwezi kuitumia kutafuta majibu. Unataka wasomaji wote wakusaidie?
    Waist 25.5"-28" ni 40-42 European.

    ReplyDelete
  4. 30 ni 8, 28 ni 6, 26 ni 4 so may be 27 ni 7 sina uhakika for odd numbers,labda hii itakusaidia!!!

    ReplyDelete
  5. acha ushamba google kwenye web utaona size zote za nguo hata viatu pia ukitaka , kiume na kike , wewe tuu.

    ReplyDelete
  6. kwanini usiwapigie simu ukawauliza?

    ReplyDelete
  7. hiyo itakuwa ni size XXXL au 24W

    ReplyDelete
  8. Acha dharau wewe.......nani kakwambia tunahitaji zawadi za suruali za mitumba....labda tuletee simu za kisasa na perfume originals.......kuhusu suruali tutachukua mitumba......au kama vipi tuletee hiyo pesa mamizigo mizigo yatakusumbua tuu.......WITH LOVE

    ReplyDelete
  9. inategemea na anavaa hips size ngapi. but mostly ni btn 4-5 in women size. pia anangalia urefu kama ina 4p au 5p" inamaana hizo ni kwa wafupi but ikisema size 4 0r five hizo ni kwawarefu wa kawaida. hope nimekusaidia.

    ReplyDelete
  10. @Anonymous Fri Dec 18, 09:17:00 AM,

    Nadhani maelekezo yako ni very precise, kwa sababu research niliyofanya ime match your details. Once again thank you so much for the help.
    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  11. Huyo ana2actia achaneni nae hana cha kutuuliza wabongo!
    Kama vip poa2 mwng wasalimie USA,

    ReplyDelete
  12. Watu wengine bwana!! Yaani hapo hapo dukani unapotaka kununua wataweza kukuelekeza vizuri au nia yako ni kutaka kutushtulia nyongo tu, huu si wakati muafaka bro - chunga sana.

    ReplyDelete
  13. jamani tuwe tunatumia internet

    ReplyDelete
  14. Nguo za Us ni original ww huwezi linganisha na hizo zinazoletwa huko kutoka China, we ndio mshamba unayedai hutaki nguo kutoka Us, huelewi nini unazungumza, u don't to get it !!!deal with it!!!

    ReplyDelete
  15. PETER NALITOLELADecember 18, 2009

    HAHA BWANA NA NYIYE MUMEHULIZWA SWALI KWA NINI MUMUHULIZE TENA KWA SWALI? MUMUJIBU ANATAKA KUJUA SIZE ZA SULUWALI ZA KIKE ZENYE KIUNO CHA UINGELEZA NI SIZE NGAPI KWA KIHUNO CHA MAREKANI SASA MBONA MUNAMUHULIZA SWALI YEYE BADALA YA KUMUJIBU. KWA KIFUPI WEWE MNYA BLOG INATEGEMEYA HIYO SURUWALI UNAHIVALIA WAPI KAMA NI UINGEREZA SIZE 17 UKIIVALIA MAREKANI INAKUWA NI SIZE 23, SASA NASHANGAA WANYA BLOGS MUMEZUNGUKA KULIJIBU SWALI MWISHOWE MUMEHISHIA KUMUHULIZA YEYE MWENYEWE SWALI ETI WENGINE MUNASEMA KWA NINI HUMEHULIZA WAKATI UNAYO HINTERNET? SASA BILA HIYO HINTERNET ANGEHULIZAJE HILO SWALI? WENGI WENU HUMU KAMA NI INTERVYUU MULIKUWA MUME DONDOKA KABISAAA WAKATI SWALI LILIKUWA DOGO NALA KUSAMARRIZE TU BILA MANENO MENGI SANA KULIJIBU. HAMA HAMUKUSOMA PRONOUNCIATIONS AMA PASSIVE VOICE NINI MULIPOKUWA VYUONI? MUZUMBE MASWALI KAMA HAYA NILIKUWA NAYAPIGAGA SANA HASA MWAKA WA KWANZA KWENYE ZILE SAPU ZA KILA MWISHO WA TEMU WA KUFUNGA. HULIZA MUZUMBE NIMEHACHA JINA KUBWA SANA, NIKAHITWA HADI MIMI NI SAWA NA KAMUZU BANDA MUSOMI MAHIRI SANA WA VYUO VIKUU VYAHO.

    ReplyDelete
  16. kaka inategemea hili swali unakosea kuliuliza most of the people walio kujibu ni wabeba box hawana muda wa kuangalia size za nguo. hili swali ukienda kariakoo utalipatia ufumbuzi wa haraka sana lakini wapiga box wa marekani na uingereza watakupotezea muda wako hawana muda hata wa kula na kunywa bia sasa kiuno cha suruali watakijulia wapi? nadhani umeona majibu yao?!!

    ReplyDelete
  17. Nipe namba zao nikawapime nikuletee size zote mie fundi charahani maramba muheza

    ReplyDelete
  18. laazizi wng hapa ni 27 ya kibongo na USA 3 hadi 4.kama alivyosema mdau hapo juu.inategemea pia na makalio.

    ReplyDelete
  19. Mdau umelonga, aje na pesa tu, nguo kibao kariakoo mpya na safi. Hiyo mizigo inaweza isifike si umesikia mambo ya airport ya uwanja wa ndege wanavyoliza watu. Au ndo unataka visingizio kuwa niliwaletea zawadi jamaa wameiba uwanja wa ndege wa airport ya mwalimu nyerere.

    Njoo na hela, kila kitu kipo bongo.

    ReplyDelete
  20. HATA UTAKAPOKWENDA DUKANI KUNUNUWA UKIMUULIZA SALES ASSISTANT ATAKUELEKEZA JAMANI!!!! THEY KNOW ALL THOSE STUFF WALA USIPATE TABU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...