Mr. Michuzi,
Mimi ni mtanzania anayeishi marekani na ningependa kujua kwamba suruali za kike zenye kiuno 27 European size itakuwa size gani kwa nguo za kimarekani in terms of 0,1,2,3,4,5? Nitashukuru sana kupata huu msaada.
Ni vizawadi kwa ndugu Tanzania
asanteni sana
mdau
USA
asanteni sana
mdau
USA
http://www.usatourist.com/english/tips/Womens-Sizes.html
ReplyDeletehttp://www.i18nguy.com/clothing.html
27 (inches) waist is equivalent to size 8 (USA standard).
ReplyDeletehttp://www.usatourist.com/english/tips/Womens-Sizes.html
size 10
ReplyDeleteMzee internet unayo na uwezi kuitumia kutafuta majibu. Unataka wasomaji wote wakusaidie?
ReplyDeleteWaist 25.5"-28" ni 40-42 European.
30 ni 8, 28 ni 6, 26 ni 4 so may be 27 ni 7 sina uhakika for odd numbers,labda hii itakusaidia!!!
ReplyDeleteacha ushamba google kwenye web utaona size zote za nguo hata viatu pia ukitaka , kiume na kike , wewe tuu.
ReplyDeletekwanini usiwapigie simu ukawauliza?
ReplyDeletehiyo itakuwa ni size XXXL au 24W
ReplyDeleteAcha dharau wewe.......nani kakwambia tunahitaji zawadi za suruali za mitumba....labda tuletee simu za kisasa na perfume originals.......kuhusu suruali tutachukua mitumba......au kama vipi tuletee hiyo pesa mamizigo mizigo yatakusumbua tuu.......WITH LOVE
ReplyDeleteinategemea na anavaa hips size ngapi. but mostly ni btn 4-5 in women size. pia anangalia urefu kama ina 4p au 5p" inamaana hizo ni kwa wafupi but ikisema size 4 0r five hizo ni kwawarefu wa kawaida. hope nimekusaidia.
ReplyDelete@Anonymous Fri Dec 18, 09:17:00 AM,
ReplyDeleteNadhani maelekezo yako ni very precise, kwa sababu research niliyofanya ime match your details. Once again thank you so much for the help.
Mdau
USA
Huyo ana2actia achaneni nae hana cha kutuuliza wabongo!
ReplyDeleteKama vip poa2 mwng wasalimie USA,
Watu wengine bwana!! Yaani hapo hapo dukani unapotaka kununua wataweza kukuelekeza vizuri au nia yako ni kutaka kutushtulia nyongo tu, huu si wakati muafaka bro - chunga sana.
ReplyDeletejamani tuwe tunatumia internet
ReplyDeleteNguo za Us ni original ww huwezi linganisha na hizo zinazoletwa huko kutoka China, we ndio mshamba unayedai hutaki nguo kutoka Us, huelewi nini unazungumza, u don't to get it !!!deal with it!!!
ReplyDeleteHAHA BWANA NA NYIYE MUMEHULIZWA SWALI KWA NINI MUMUHULIZE TENA KWA SWALI? MUMUJIBU ANATAKA KUJUA SIZE ZA SULUWALI ZA KIKE ZENYE KIUNO CHA UINGELEZA NI SIZE NGAPI KWA KIHUNO CHA MAREKANI SASA MBONA MUNAMUHULIZA SWALI YEYE BADALA YA KUMUJIBU. KWA KIFUPI WEWE MNYA BLOG INATEGEMEYA HIYO SURUWALI UNAHIVALIA WAPI KAMA NI UINGEREZA SIZE 17 UKIIVALIA MAREKANI INAKUWA NI SIZE 23, SASA NASHANGAA WANYA BLOGS MUMEZUNGUKA KULIJIBU SWALI MWISHOWE MUMEHISHIA KUMUHULIZA YEYE MWENYEWE SWALI ETI WENGINE MUNASEMA KWA NINI HUMEHULIZA WAKATI UNAYO HINTERNET? SASA BILA HIYO HINTERNET ANGEHULIZAJE HILO SWALI? WENGI WENU HUMU KAMA NI INTERVYUU MULIKUWA MUME DONDOKA KABISAAA WAKATI SWALI LILIKUWA DOGO NALA KUSAMARRIZE TU BILA MANENO MENGI SANA KULIJIBU. HAMA HAMUKUSOMA PRONOUNCIATIONS AMA PASSIVE VOICE NINI MULIPOKUWA VYUONI? MUZUMBE MASWALI KAMA HAYA NILIKUWA NAYAPIGAGA SANA HASA MWAKA WA KWANZA KWENYE ZILE SAPU ZA KILA MWISHO WA TEMU WA KUFUNGA. HULIZA MUZUMBE NIMEHACHA JINA KUBWA SANA, NIKAHITWA HADI MIMI NI SAWA NA KAMUZU BANDA MUSOMI MAHIRI SANA WA VYUO VIKUU VYAHO.
ReplyDeletekaka inategemea hili swali unakosea kuliuliza most of the people walio kujibu ni wabeba box hawana muda wa kuangalia size za nguo. hili swali ukienda kariakoo utalipatia ufumbuzi wa haraka sana lakini wapiga box wa marekani na uingereza watakupotezea muda wako hawana muda hata wa kula na kunywa bia sasa kiuno cha suruali watakijulia wapi? nadhani umeona majibu yao?!!
ReplyDeleteNipe namba zao nikawapime nikuletee size zote mie fundi charahani maramba muheza
ReplyDeletelaazizi wng hapa ni 27 ya kibongo na USA 3 hadi 4.kama alivyosema mdau hapo juu.inategemea pia na makalio.
ReplyDeleteMdau umelonga, aje na pesa tu, nguo kibao kariakoo mpya na safi. Hiyo mizigo inaweza isifike si umesikia mambo ya airport ya uwanja wa ndege wanavyoliza watu. Au ndo unataka visingizio kuwa niliwaletea zawadi jamaa wameiba uwanja wa ndege wa airport ya mwalimu nyerere.
ReplyDeleteNjoo na hela, kila kitu kipo bongo.
HATA UTAKAPOKWENDA DUKANI KUNUNUWA UKIMUULIZA SALES ASSISTANT ATAKUELEKEZA JAMANI!!!! THEY KNOW ALL THOSE STUFF WALA USIPATE TABU.
ReplyDelete