
mwenyekiti wa Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania(TYVA) Elizabeth Rikizi(kulia) akielezea LEO JIJINI Dar umuhimu wa kuwashirikisha vijana katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo katika kuharakisha maendeleo hapa nchini.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya TYVA Joseph Ngonja(kushoto). Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO.
Kaka Misoup nimejalibu kuangalia vidole vya huyu mrembo Eliza sioni pete, kwa kweli nimempenda kama naweza pata contact zake plssss anaweza kuwa shemeji yako mbeleni
ReplyDeleteha ha haa ooooiiiii we mdau hapo juu mbavu zangu jamani lol!! ati umeangalia vidole vyake huoni pete ha hahaaaaa kweli hii blogu ya jamii idumu
ReplyDeleteHuyu Anonymous.. anaona picha basi anastuka moyo? namfahamu Eliza kwa muda mrefu.. binti makini sana.. ila una bahati mbaya.. kashapata mtu.
ReplyDeleteWow she's pretty na kwa kuweza kusimama na kutoa hoja anaonekana yuko fiti upstairs .
ReplyDeleteI am in love.
Michuzi huyu dada hebu mpe nafasi zaidi ya kushaini hapa kwenye globu yetu kama unavyompaga Mwamvita Makamba.