mwenyekiti wa Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania(TYVA) Elizabeth Rikizi(kulia) akielezea LEO JIJINI Dar umuhimu wa kuwashirikisha vijana katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo katika kuharakisha maendeleo hapa nchini.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya TYVA Joseph Ngonja(kushoto). Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Misoup nimejalibu kuangalia vidole vya huyu mrembo Eliza sioni pete, kwa kweli nimempenda kama naweza pata contact zake plssss anaweza kuwa shemeji yako mbeleni

    ReplyDelete
  2. ha ha haa ooooiiiii we mdau hapo juu mbavu zangu jamani lol!! ati umeangalia vidole vyake huoni pete ha hahaaaaa kweli hii blogu ya jamii idumu

    ReplyDelete
  3. Huyu Anonymous.. anaona picha basi anastuka moyo? namfahamu Eliza kwa muda mrefu.. binti makini sana.. ila una bahati mbaya.. kashapata mtu.

    ReplyDelete
  4. Dumizi MpigambiziDecember 18, 2009

    Wow she's pretty na kwa kuweza kusimama na kutoa hoja anaonekana yuko fiti upstairs .

    I am in love.

    Michuzi huyu dada hebu mpe nafasi zaidi ya kushaini hapa kwenye globu yetu kama unavyompaga Mwamvita Makamba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...